mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Ni kombora ambalo US walilifuatilia lakini hawajui lina sifa zipi.
Japan wamelaani sana jaribio hilo, ambalo liliishia kwenye bahari karibu na japan
Huu ni muendelezo wa jaribio la Makombora bila kujali mkwara wa TRUMP na baada ya majaribio mawili kusadikika kufeli.
chanzo.
Pyongyang’s ‘unidentified missile’ flies 700km, lands in Sea of Japan
UPDATES
Inasemekana kwa mujibu wa wataalamu wa mambo hayo, kama Kombora hilo lingetestiwa katika Trajectory inayotegemewa (lisingeenda juu sana na kwenda kimo cha kawaida), Lilikuwa na uwezo wa kusafiri Umbaki wa Kilometer 4500.
Ili kombora hilo lifike marekani lilihitaji angalau Kilometer 8000, au angalau 7000Km lifike Hawii
Inasadikiwa kombora hilo ni hili, jipya ambalo lilipitishwa kwenye maonyesho hivi majuzi. Ila ukweli unabaki waliolirusha ndio wanalijua, na wanajua linasifa zipi.
Chanzo:North Korea's Missile in New Test Would Have 4,500 km Range