Leo Rais Trump alikutana na Papa Francis nchini Vatican huku ombi kubwa la Papa Francis kwa Donald Trump likiwa ni kuizungumzia zaidi amani na kuitafuta zaidi amani kuliko vita.
Rais donald trump...
Askari wa Kuwait wamemshikilia mwanamke nchini humo kwa kumrekodi mfanyakazi wake wa kiEthiopia akijirusha kutoka ghorofani bila kujaribu kumuokoa.
Mwanamke huyo alimrekodi mfanyakazi wake...
Christians living in Libya have been rounded up, beaten, tortured, and accused of proselytism by Libyan security forces in Benghazi, in the latest sign of the militant Islamism affecting the...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amepiga marufuku kufanyika karamu zozote zinazohusiana na mwezi mtukufu wa Ramadhani katika wizara hiyo mwaka huu.
Shirika la habari la IRNA limeripoti habari...
Historia inaeleza kuwa marekan haijawah kuwa na koloni bali imewahi kutawaliwa na waingereza hadi pale ilipo pata uhuru wake 1776.
Marekani ni taifa linalo ongoza dunia kwa unyonyaji wa kiuchumi...
Bado najiuliza hivi hali hii ingekuwaje kwa TBC kuona tukio kama hili?Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7...
Kiongozi mkuu wa Israel kafurah sana Rais Trump kuitembelea Israel.
Na pia kampongeza kwa kutembelea Waislam, na wao WAJUZI kisha Wakristo, kwani akitoka hapo anaenda kwa Pop Vatican.
1...
Rais wa venezuela Nicolas maduro amesema kuwa waandamanaji wanaounga mkono upinzani ndio walimwasha moto raia mmoja anayeunga mkono serikali huko Caracas, katika siku ya 50 ya maandamano.
Orlando...
Za asubuhi wanajamvi, ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Leo nimeamka asubuhi katika kupitia pitia emails zangu nakutana na email yenye kichwa...
Kuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya...
Ripota wa AyoTV na millardayo.com wakati akiwa anasubiria mchezo wa fainali na mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama...
Washington (CNN)Then-FBI Director James Comey knew that a critical piece of information relating to the investigation into Hillary Clinton's email was fake -- created by Russian intelligence --...
Watu wenye silaha nchini Misri, wameshambulia basi moja lililokuwa limewabeba wakristo wa dhehebu la Coptic na kuwauwa watu kadhaa.
Gavana wa jimbo hilo, anasema kuwa watu 23 walimiminiwa risasi...
Idara ya jeshi la marekan itajaribu kufanya jaribio la kudungua kombora la masafa marefu ICBM, maafisa wa pentagon wanasema jaribio hilo litafanyika jumatano wiki hii.
Kumekuwa na hali ya...
Wanajeshi wa Misri wametekeleza mashambulizi ya angani katika taifa jirani la Lybia ambapo wamelenga kambi za mazoezi za wapiganaji wa kijihadi.
Maamlaka zinasema mashambulizi hayo karibu na mji...
Jamani jamani Dunia imekwishaharibika wandugu 2nakoerekea aise Mungu anajua!!!!!!
Madam amehinjwa kinyama na kuuawa kutoka kwa mufanyakazi wake wa ndani Raia wa ETHIOPIA .inadaiwa kuwa mfanyakaz...
BRIA, Central African Republic (AP) — Scores of blackened homes dot this town where more than 41,000 people have fled for their lives.
Deadly sectarian violence that has gripped Central African...
Muungana wa majeshi ya marekani yaliyopo Syria na Irag kwa pamoja wakiwa na ndege vita wamewaua viongozi watatu wa ISS kwa mabomu ya ndege.
US Coalition Airstrikes Kill 3 Senior Islamic State...
Haki miliki ya pichaDUBAI MEDIA OFFICE
Polisi nchini Dubai wamezindua afisa roboti ya kwanza itakayo piga doria katika majumba ya kibiashara na maeneo ya kivutio kwa watalii.
Watu wataweza...
Raisi wa marekani Donard J Trump kesho anatarajia kuhudhuria kwa Mara ya kwanza mkutano wa G7, mda mfupi uliopita Donard ametoa hotuba fupi mbele ya viongozi wa NATO huko BRUSSELS.