marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Raisi wa marekani Donard J Trump kesho anatarajia kuhudhuria kwa Mara ya kwanza mkutano wa G7, mda mfupi uliopita Donard ametoa hotuba fupi mbele ya viongozi wa NATO huko BRUSSELS.
Fact ni zama za kuambiana ukweli tuHuyo ndio kidume. Wajinga wajinga akina Merkel na Obama wanaleta upuuzi kwenye maisha ya watu; mtu anakuja kukumaliza nyumbani kwako halafu unamchekea kwa kigezo cha haki za binadamu? Mbona yeye hatendi haki tena kwa wasio na hatia.
Nimeipenda ile speech ya Trump akiwapasha viongozi wa nchi za kiarabu na kiislam mbele ya Mfalme wa Saudia; kazi kulea na kufadhili magaidi halafu yanakuja kuwarudi ninyi wenyewe; kawaambia 95% ya waathirika wa ugaidi ni waarabu ambao ndio hao hao wanaulea. Was so nice speech.
Huyo ndio kidume. Wajinga wajinga akina Merkel na Obama wanaleta upuuzi kwenye maisha ya watu; mtu anakuja kukumaliza nyumbani kwako halafu
unamchekea kwa kigezo cha haki za binadamu? Mbona yeye hatendi haki tena kwa wasio na hatia.