Wakristo nchini libya wakati wa gadafi waliishi vizuri sasa hivi wanateswa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,164
Christians living in Libya have been rounded up, beaten, tortured, and accused of proselytism by Libyan security forces in Benghazi, in the latest sign of the militant Islamism affecting the country since the revolution.
Times of Israel Dozens of Coptic Christians were tortured inside a detention center run by a powerful militia in eastern Libya, two of the recently released detainees told The Associated Press on Friday amid a wave of assaults targeting Christians in Benghazi and the latest instance of alleged abuse by Libyan security forces.
An Egyptian Christian suspected of trying to convert Muslims in Libya was tortured to death while in police custody, an Egyptian human rights lawyer said.
The two, among an estimated 50 Egyptian Christians who have been detained in Libya on suspicion of proselytizing, told of being rounded up in a market by gunmen who checked their right wrists for tattoos of crosses. “They first checked our wrists searching for the crosses and if they found them, we (had to) get into their cars,” said 26-year-old Amgad Zaki from the southern city of Samalout in Minya province, 220 kilometers (135 miles) south of Cairo.
Zaki said a group of men — some in uniform and some in civilian clothes — rounded up Egyptians selling clothes in a market called el-Jareed in Benghazi on Feb. 26. He and other Christians climbed into SUVs that he said carried the sign of Libya Shield One, one of the most powerful militias in Benghazi that is under the command of Islamist and ex-rebel Wassam Bin Hemad.
“They shaved our heads. They threatened to sever our heads in implementation of Islamic Shariah (law) while showing us swords,” said Zaki, who was interviewed on the telephone from his home after returning to Egypt earlier this month.
“They dealt with us in a very brutal way, including forcing us to insult our Pope Shenouda,” Zaki said, referring to the former Coptic pontiff who died last year. He said that during four days of detention they were flogged, forced to take off their clothes in cold weather and stand at 3 a.m. outdoors on floor covered with stones.
“I was taken to clean a bathroom, and the man pushed my head inside the toilet and sat on me,” he said. “I was dying every day, and at one point I thought death is better than this.”
Militias have been targeting Christians, women, journalists, refugees and those considered former loyalists of Moammar Gadhafi, who was toppled and killed in Libya’s 2011 civil war. The state relies on the militias to serve as security forces since Libya’s police and military remain in shambles.
n Coptic church suffers second attacky
My take: Baba wa watu pamoja na mapungufu yake ya udikteta alijitahidi sana lakini tangu hawa wanamgambo wachukue nchi hali ni tete
 
Ukristo kwa watu wasioijua kweli yake...umevishwa picha ya ubepari na kila aina ya uasi dhidi ya utu..bilashaka matendo yetu ndo yanapelekea adhabu hizi zitukute..si rahisi kuutenganisha Ukristo na ushoga kwa mfano..umehalalishwa katika nchi zenye wakristo wengi na bilashaka zenye serikali za kikikristo...imagine hata kuna first gentleman Austria nchi ya wakristo!! Us,Uk,Europe ni nchi zenye maslahi ya kiuhujumu ME ...zinajinasibu ati ni za kikristo...kumbuka opium war China.... bila shaka chini ya mioyo yao Wachina wanaona wakristo ni nguruwe tu.Sasa ndo upite anga zao....haitohitajika kamusi kujua Mkristo yeyote SI mmoja wao
 
Naona sawa maana ni hawa wakristo walimchukia Gaddafi na wakashangilia kuanguka kwake sasa waone mwema ni yupi ipo siku watajua ukimfanyia ubaya mtu basi ubaya huo utakurudia mwenyewe
 
sijawahi ona nchi zenye waatrabu christian wakawa huru kuabudu kama sehemu nyingine

Naona sawa maana ni hawa wakristo walimchukia Gaddafi na wakashangilia kuanguka kwake sasa waone mwema ni yupi ipo siku watajua ukimfanyia ubaya mtu basi ubaya huo utakurudia mwenyewe
Mimi siioni kama uarabu au kiongozi fulani eg Gaddafi au Saddam bali imani ya UISLAAM unaichukulia ukristo kama kikwazo kwao cha kufika ahera. Wamejenga chuki na wasio na uadui nao (ukristo). Lazima mafundisho yao yanachochea hali hii.

Lakini tujiulize hata ukimuua mtu, wewe hautadumu milele bali nawe utakufa!!.
 
Ndio hapo hata mm nashangaa. Ila nadhani ni hayo mafundisho wanayopata kwamba ukiua Christian unapata thawabu huko peponi
 
Endelea kubaki na giza totoro

Ukristo kwa watu wasioijua kweli yake...umevishwa picha ya ubepari na kila aina ya uasi dhidi ya utu..bilashaka matendo yetu ndo yanapelekea adhabu hizi zitukute..si rahisi kuutenganisha Ukristo na ushoga kwa mfano..umehalalishwa katika nchi za kikristo...imagine hata kuna first gentleman Austria nchi ya wakristo!! Us,Uk,Europe ni nchi zenye maslahi ya kiuhujumu ME ...zinajinasibu ati ni za kikristo...kumbuka opium war China.... bila shaka chini ya mioyo yao Wachina wanaona wakristo ni nguruwe tu.Sasa ndo upite anga zao....haitohitajika kamusi kujua Mkristo yeyote SI mmoja wao
 
Naona sawa maana ni hawa wakristo walimchukia Gaddafi na wakashangilia kuanguka kwake sasa waone mwema ni yupi ipo siku watajua ukimfanyia ubaya mtu basi ubaya huo utakurudia mwenyewe
Gadaffi alipo shika atamu pale Libya cha kwanza alipiga ukristo marufuku mleta mada propaganda anaandika akuna kitu
 
Ghadafi yule ambaye alikuwa na ajenda ya kuislimisha Afrika nzima kwa ajenda ya ulaghai ya " African union" au mwingine?
 
Libya ilikuwa nchi nzuri kwa watu wote kipindi cha Gaddafi Ila sasa ni hatari ongea kwa ushahidi sio chuki acheni uzushi
Mkuu mimi nilikuwa nampenda gadafi sana kama kiongozi mzuri sina chuki na dini wala gadafi ila kwa historia ya gadafi kama ulisoma alipiga marufuki ukristo ni kitu kipo wazi Libya akukuwa na wakristo
 
Ukristo kwa watu wasioijua kweli yake...umevishwa picha ya ubepari na kila aina ya uasi dhidi ya utu..bilashaka matendo yetu ndo yanapelekea adhabu hizi zitukute..si rahisi kuutenganisha Ukristo na ushoga kwa mfano..umehalalishwa katika nchi za kikristo...imagine hata kuna first gentleman Austria nchi ya wakristo!! Us,Uk,Europe ni nchi zenye maslahi ya kiuhujumu ME ...zinajinasibu ati ni za kikristo...kumbuka opium war China.... bila shaka chini ya mioyo yao Wachina wanaona wakristo ni nguruwe tu.Sasa ndo upite anga zao....haitohitajika kamusi kujua Mkristo yeyote SI mmoja wao
Acha kupotosha uma.
Kuna nchi ya Kikristo
dunia hii.
Unajua maana ya nchi kujiita ni ya Kikristo.
Saudi Arabia ni nchi ya Kiislamu maana yake, inafata sheria na taratibu uliowekwa kwenye Qurani.Qurani ndo katiba yao.
Hebu nitajie nchi moja tu inayofuata sheria za Biblia kama sheria mama.
Sema huko ulaya kuna Wakristo wengi kupita idadi ya waislamu.
Wazungu wanasheria zao ambazo katika baadhi ya nchi wameruhusu kuona jinsia moja. ni mila zao.
Haijaandikwa kwenye Biblia eti waumini wake waoane jinsia moja.
Ivi Adam alipoletewa Eva kama mkewe, ulisikia Eva alikua mwanamume ?
Biblia ndio kitabu cha kwanza kufundisha habari ya ndoa.
"Mtu mume atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja"
Ulaya dini ya Kikristo inasajiriwa kuendesha shughuli zake kama dini ya kiislamu unavyoendesha.
Tena kwa taarifa yako kuna waislamu wanatoka uarabuni na kwenda ulaya kufunga ndoa za jinsia moja, na hao utawaitaje ?
Huko ulaya na Australia wananchi wake wameamua kufanya mambo kinyume na dini zinavyoelekeza.
Ukristo haifundishi ushoga, ukisikia kanisa la Anglikana la Uingereza linafungisha ndoa za jinsia moja, ijue kanisa hilo lime asi na limejitenga na mafundisho ya
kikristo.
Ivi magaidi wanavyo
sema Qurani inawafundisha waue watu wewe unawaamini ?
Au je waislamu ni magaidi
kwakuwa vikundi vya Ql-Qaida vinajiita ni waislamu.

Ustaarabu wa nchi za ulaya ndio chimbuko la ndoa za ushoga. (Western Culture)

Walaumu wazungu wa ulaya na sio Wakristo kwa ujumla.

Hakuna nchi ya Kikristo.
 
Ukristo kwa watu wasioijua kweli yake...umevishwa picha ya ubepari na kila aina ya uasi dhidi ya utu..bilashaka matendo yetu ndo yanapelekea adhabu hizi zitukute..si rahisi kuutenganisha Ukristo na ushoga kwa mfano..umehalalishwa katika nchi za kikristo...imagine hata kuna first gentleman Austria nchi ya wakristo!! Us,Uk,Europe ni nchi zenye maslahi ya kiuhujumu ME ...zinajinasibu ati ni za kikristo...kumbuka opium war China.... bila shaka chini ya mioyo yao Wachina wanaona wakristo ni nguruwe tu.Sasa ndo upite anga zao....haitohitajika kamusi kujua Mkristo yeyote SI mmoja wao
Qur'an ndio inaruhusu ushoga 100%
 
Naona sawa maana ni hawa wakristo walimchukia Gaddafi na wakashangilia kuanguka kwake sasa waone mwema ni yupi ipo siku watajua ukimfanyia ubaya mtu basi ubaya huo utakurudia mwenyewe
Kuna wengine walimuchukia kwa sababu alimsaidia nduli Idd Amin Dada kagera.

Hii wewe unaona imekaaje...?
 
Lete aya acha kuongea ujinga humu umewahi kusoma Quran wewe kafiri mkubwa ungekuwa Iran kichwa chako halali yetu
Wake zenu ni mashamba yenu; basi yaendeeni mashamba yenu kwa namna mutakayo, na muzitangulizie mema nafsi zenu” (2: 223
 
Back
Top Bottom