KUWAIT: Akamatwa kwa kumrekodi mfanyakazi wake(Muethiopia) akijirusha kutoka ghorofani

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,536

Askari wa Kuwait wamemshikilia mwanamke nchini humo kwa kumrekodi mfanyakazi wake wa kiEthiopia akijirusha kutoka ghorofani bila kujaribu kumuokoa.

Mwanamke huyo alimrekodi mfanyakazi wake akijirusha na kuangukia kwenye mfuniko wa chuma kisha akaiposti kwenye Mtandao wa Kijamii.

Video hiyo ya sekunde 12 inaonesha mfanyakazi huyo akining'inia nje ya jengo hilo akiwa ameshikilia dirisha kwa mkono mmoja huku akiomba msaada katika kilichoonekana kama badiliko la mawazo. Mwanamke aliyekuwa akirekodi alisikika akisema " God, are you crazy, come back" akimaanisha "Mungu wangu una wazimu wewe, hebu rudi"

Mfanyakazi huyo aliyekuwa na uoga anasikika akisema " Nishikilie Nishikilie" kisha anaanguka na mwajiri huyo hakufanya chochote bali aliendelea kurekodi.

Alipelekwa hospitali na kubainika kuvuja damu puani, masikioni na mkono uliovunjika.

========

Kuwaiti police have detained a woman for filming her Ethiopian maid falling from the seventh floor in an apparent suicide attempt without trying to rescue her, media and a rights group said Friday.

The Kuwaiti woman filmed her maid land on a metal awning and survive, then posted the incident on social media, Al-Seyassah newspaper reported.

The 12-second video shows the maid hanging outside the building, with one hand tightly gripping the window frame, as she begs for help in an apparent last-minute change of mind.

The woman holding the camera is heard telling the hanging maid: “Oh crazy, come back.”

The terrified maid is seen screaming “hold me, hold me”, just before her hand slips and she falls down to hit the awning, which appears to soften the impact.

The employer made no reaction as she continued filming.

Later, paramedics rescued the maid and rushed her to hospital where she was found to have suffered nose and ear bleeding and a broken arm, the newspaper said.

The criminal investigation police referred the employer to the prosecution over failing to help the victim, the daily said.

The reasons for the maid’s attempted suicide were not revealed.

The Kuwait Society for Human Rights on Friday called on the authorities to investigate the case and refer it to court.

The oil-rich Gulf state is home to more than 600,000 domestic helpers, a majority of them Asians, many of whom complain of abuse, mistreatment and non-payment of wages.

Hundreds of maids escape their employers every year over abuse, and the government has set up shelters for them. Some seek help from their embassies.

Chanzo: capitalfm
 
Video hiyo ya dakika 12 inaonesha mfanyakazi huyo akining'inia nje ya jengo hilo akiwa ameshikilia dirisha kwa mkono mmoja huku akiomba msaada katika kilichoonekana kama badiliko la mawazo. Mwanamke aliyekuwa akirekodi alisikika akisema " Oh crazy, come back" akimaanisha "Hii ni balaa, hebu rudi"

Mfanyakazi huyo aliyekuwa na uoga anasikika akisema " Nishikilie Nishikilie" kisha anaanguka na mwajiri huyo hakufanya chochote bali aliendelea kurekodi.

Alipelekwa hospitali na kubainika kuvuja damu puani, masikioni na mkono uliovunjika.

========

Kuwaiti police have detained a woman for filming her Ethiopian maid falling from the seventh floor in an apparent suicide attempt without trying to rescue her, media and a rights group said Friday.

The Kuwaiti woman filmed her maid land on a metal awning and survive, then posted the incident on social media, Al-Seyassah newspaper reported.

The 12-second video shows the maid hanging outside the building, with one hand tightly gripping the window frame, as she begs for help in an apparent last-minute change of mind.

The woman holding the camera is heard telling the hanging maid: “Oh crazy, come back.”

The terrified maid is seen screaming “hold me, hold me”, just before her hand slips and she falls down to hit the awning, which appears to soften the impact.

The employer made no reaction as she continued filming.

Later, paramedics rescued the maid and rushed her to hospital where she was found to have suffered nose and ear bleeding and a broken arm, the newspaper said.

The criminal investigation police referred the employer to the prosecution over failing to help the victim, the daily said.

The reasons for the maid’s attempted suicide were not revealed.

The Kuwait Society for Human Rights on Friday called on the authorities to investigate the case and refer it to court.

The oil-rich Gulf state is home to more than 600,000 domestic helpers, a majority of them Asians, many of whom complain of abuse, mistreatment and non-payment of wages.

Hundreds of maids escape their employers every year over abuse, and the government has set up shelters for them. Some seek help from their embassies.

Chanzo: capitalfm
Kumbe ile video inayorushwa na kuonyeshwa,kama ni Husna,aliyesukumwa kutoka ghorofani Oman,ni ya Kuwait.Waliotuma katika post ya kusukumwa Husna,na kusema ni ushaidi,wa Husna kusukumwa ni waongo.
Angalia huyu boss,ameshindwa kumuokoa mfanyakazi wake,na alikuwa akijirusha mwenyewe na amewekwa ndani.Halafu utasikia wapo wanaosema,waarabu sio watu,wanawaua wafanyakazi na hakuna hatua zozote.
Huwenda huyu akajitetea,nimepiga video kama kujitetetea,ili asijejulikana kama ni yeye aloyemsukuma,kumbe sio yeye.
 
Anti-black racism is a daily reality in Arab societies. In many Arab nations, including Kuwait, Africans workers are lured into menial jobs where their passports are confiscated upon arrival and they are forced into humiliating and often inhuman working conditions. They have little to no protection under the law and are particularly vulnerable to exploitation, including extraordinarily long working hours, withholding of salaries, sexual, mental, and physical abuse, rape, and denial of travel.
 
Wabongo tunaogopa sana kujitoa muhanga, unakuta mtu anapigika kinooma kesho yake ni mbaya kuliko leo au jana lakini anakaa kubisha tu, haendi ulaya au uarabuni!

Tujifunze kutake risk, kama vp tunarudi tu bongo, hatujaasi nchi! twende tukatafute tuilete mafwedhwa bongo
 
Kumbe ile video inayorushwa na kuonyeshwa,kama ni Husna,aliyesukumwa kutoka ghorofani Oman,ni ya Kuwait.Waliotuma katika post ya kusukumwa Husna,na kusema ni ushaidi,wa Husna kusukumwa ni waongo.
Angalia huyu boss,ameshindwa kumuokoa mfanyakazi wake,na alikuwa akijirusha mwenyewe na amewekwa ndani.Halafu utasikia wapo wanaosema,waarabu sio watu,wanawaua wafanyakazi na hakuna hatua zozote.
Huwenda huyu akajitetea,nimepiga video kama kujitetetea,ili asijejulikana kama ni yeye aloyemsukuma,kumbe sio yeye.
Aliamua mwenyewe kujirusha au? Ni kutokana na mateso Makali tena nahisi.. Huyo bosi alikuwa anasema hivyo kinafiki tu
 
Tunatofautiana akili, ila mimi kwa upande wangu nitakuwa wa mwisho kabisa kwenda huko sijui Saudi Arabia, Oman, Kuwait and alike.

Ni bora nisitoke huko nje, haitanpunguzia damu.

Amini nakwambia
 
Askari wa Kuwait wamemshikilia mwanamke nchini humo kwa kumrekodi mfanyakazi wake wa kiEthiopia akijirusha kutoka ghorofani bila kujaribu kumuokoa.

Mwanamke huyo alimrekodi mfanyakazi wake akijirusha na kuangukia kwenye mfuniko wa chuma kisha akaiposti kwenye Mtandao wa Kijamii.

Video hiyo ya sekunde 12 inaonesha mfanyakazi huyo akining'inia nje ya jengo hilo akiwa ameshikilia dirisha kwa mkono mmoja huku akiomba msaada katika kilichoonekana kama badiliko la mawazo. Mwanamke aliyekuwa akirekodi alisikika akisema " God, are you crazy, come back" akimaanisha "Mungu wangu una wazimu wewe, hebu rudi"

Mfanyakazi huyo aliyekuwa na uoga anasikika akisema " Nishikilie Nishikilie" kisha anaanguka na mwajiri huyo hakufanya chochote bali aliendelea kurekodi.

Alipelekwa hospitali na kubainika kuvuja damu puani, masikioni na mkono uliovunjika.

========

Kuwaiti police have detained a woman for filming her Ethiopian maid falling from the seventh floor in an apparent suicide attempt without trying to rescue her, media and a rights group said Friday.

The Kuwaiti woman filmed her maid land on a metal awning and survive, then posted the incident on social media, Al-Seyassah newspaper reported.

The 12-second video shows the maid hanging outside the building, with one hand tightly gripping the window frame, as she begs for help in an apparent last-minute change of mind.

The woman holding the camera is heard telling the hanging maid: “Oh crazy, come back.”

The terrified maid is seen screaming “hold me, hold me”, just before her hand slips and she falls down to hit the awning, which appears to soften the impact.

The employer made no reaction as she continued filming.

Later, paramedics rescued the maid and rushed her to hospital where she was found to have suffered nose and ear bleeding and a broken arm, the newspaper said.

The criminal investigation police referred the employer to the prosecution over failing to help the victim, the daily said.

The reasons for the maid’s attempted suicide were not revealed.

The Kuwait Society for Human Rights on Friday called on the authorities to investigate the case and refer it to court.

The oil-rich Gulf state is home to more than 600,000 domestic helpers, a majority of them Asians, many of whom complain of abuse, mistreatment and non-payment of wages.

Hundreds of maids escape their employers every year over abuse, and the government has set up shelters for them. Some seek help from their embassies.

Chanzo: capitalfm

Wanajaribu kupindisha ukweli
 
Wiki iliyopita tuliletewa mwili wa binti aliyefia uarabuni, nayo ilikuwa uongo?
Hizo media zinajaribu kupindisha ukweli

Mkuu Hebu weka hapa huo mwili uliyoletewa ili na sisi tuamini kama ni kweli. Najua ni uongo tu hakuna ukweli wowote. tatizo wabongo tunapenda kuhadisiwa bila kujionea wenyewe.
 
Kuna post humu yenye picha, binti alienda kuzikwa kondoa
 
Mkuu Hebu weka hapa huo mwili uliyoletewa ili na sisi tuamini kama ni kweli. Najua ni uongo tu hakuna ukweli wowote. tatizo wabongo tunapenda kuhadisiwa bila kujionea wenyewe.
Pitia post number 50 , binti alizikwa kondoa, maelezo ya kwenye main post yamejaa uongo na uliolenga kuwasafisha hawa wauaji
 
Acha ubishi
Ubishi tuuuuu kisa mnatetea mabwana zenu wenye roho mbaya waliojaa uuaji wa kila aina
Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

Mkuu narudia tena acha kukaririshwa na habari zisizokua na ukweli wowote, chochote kitakacholetwa humu usikimbilie kujibu usichokijua. Hii taarifa nilishaipata na haijulikani ni nchi ipi.
Huyo msichana kajiangusha mwenyewe na wala hakuna aliyemsukuma, boss wake alitumia kila njia masikini ya Mungu ili amuokoe lakini ikashindikana....binti kaamua kujitoa uhai mwenyewe. Tatizo letu wabongo tunapenda kuwaongelea vibaya waarabu. Just think before u post mkuu.
 
Unataka maelezo gani ili uelewe

Mkuu narudia tena acha kukaririshwa na habari zisizokua na ukweli wowote, chochote kitakacholetwa humu usikimbilie kujibu usichokijua. Hii taarifa nilishaipata na haijulikani ni nchi ipi.
Huyo msichana kajiangusha mwenyewe na wala hakuna aliyemsukuma, boss wake alitumia kila njia masikini ya Mungu ili amuokoe lakini ikashindikana....binti kaamua kujitoa uhai mwenyewe. Tatizo letu wabongo tunapenda kuwaongelea vibaya waarabu. Just think before u post mkuu.
 
Kumbe ile video inayorushwa na kuonyeshwa,kama ni Husna,aliyesukumwa kutoka ghorofani Oman,ni ya Kuwait.Waliotuma katika post ya kusukumwa Husna,na kusema ni ushaidi,wa Husna kusukumwa ni waongo.
Angalia huyu boss,ameshindwa kumuokoa mfanyakazi wake,na alikuwa akijirusha mwenyewe na amewekwa ndani.Halafu utasikia wapo wanaosema,waarabu sio watu,wanawaua wafanyakazi na hakuna hatua zozote.
Huwenda huyu akajitetea,nimepiga video kama kujitetetea,ili asijejulikana kama ni yeye aloyemsukuma,kumbe sio yeye.
We vipi? Unaambiwa wale wafanyakazi wa ndani wakifika kule wanabadilishwa majina na hati zao wananyang'anywa na mabosi wao, kwa hiyo inawezekana walimpa Identity ya Ethiopia.

Waarabu ni wanyama sana.Period.
 
Sasa tuelewe lipi,kuwa ni raia wa Ethiopia au Tanzania?;na kuwa anajirusha mwenyewe kivipi?.nani atathibitisha kama alikuwa anajirusha mwenyewe?
 
Back
Top Bottom