International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu 44 wamefariki kwa kiu ya maji baada ya basi lao walilokuwa wakisafiria wakikatiza ndani ya Jangwa la Sahara. Manusura 6 waliofanikiwa kutembea hadi kwenye kijiji cha jirani walikopatiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Urusi wamewafukuza wanadiplomasia watano wa Moldova, ikiwa ni kulipiza kisasi kwa Moldova kufukuza idadi sawa ya wafanyakazi wake wa kidiplomasia siku ya Jumatatu. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema Maafisa wa Jeshi la Wanamaji wamevamia na kuchoma moto kituo cha polisi mjini Calabar kusini mwa nchi hiyo Maafisa wa polisi watatu wanaripotiwa kuuawa...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Screaming overheard in Cabinet Room meeting between Spicer, Bannon and Sanders after Russia intel revelation Elizabeth Preza 15 May 2017 at 21:04 ET...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Paterson, mwenye umri wa miaka 59, aliwafanyia upasuaji wanawake tisa na mwanamume mmoja baada ya kuwadanganya kuwa walikuwa na saratani ya matiti. Amepatikana na hatia ya mashtaka 17 ya kujeruhi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu. Kombora hilo aina ya Scud lilipaa umbali wa kilomita 450 (maili 280)...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Ikiwa ni miaka 6 ikielekea kutimia miaka 7 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria aidha mpaka sasa takwimu zinaonyesha kuwa watu zaidi ya 465,000 wameuawa katika mapigano, huku zaidi ya milioni 1...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Al-Qaeda and the Islamic State of Iraq and the Levant (ISIL, also known as ISIS) have always considered "the West" - and the United States in particular - the ultimate enemy. But following...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Ikulu ya Marekani Mike Dubke amejiuzulu miezi 3 tu baada ya kuteuliwa na Rais wa nchi hiyo Donald Trump Habari zaidi zitafuata baadae.... ======= Mike Dubke...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KABUL — A massive blast tore through the diplomatic quarter of the Afghan capital on Wednesday of Kabul killing at least 80 people according to officials and underlining the fragility of the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Europe’s leaders are undiluted products of a dominant feminist culture. For example, many of French citizens who cast their vote for Emmanuel Macron in the recent French presidential election were...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Korean Central News Agency (KCNA) called for the US to face a human rights trial North Korea is accusing the US of spreading the Ebola virus, claiming it has been "bent on the development of...
10 Reactions
223 Replies
46K Views
Jamani naombeni msaada juu ya hii degree ya financial intelligence kwa wanayo hifahamu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja nchini Marekani amewachoma kisu wasafari wawili wa treni nchini Marekani baada ya kujaribu kumzuia kuwadhalilisha wanawake wawili ambao ni Waislamu. Polisi walimtambua mshambuliaji...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
(Copied sonewhere) NIGERIA'S #DEMOCRACY_OBITUARY ANNOUNCEMENT: With tears in my eyes and pains in my heart, I regret to announce the sudden demise of a beloved friend, Democracy, who has been...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thirteen South Sudanese soldiers have gone on trial accused of raping foreign aid workers and murdering their local colleague. The incident in the capital, Juba, last July resulted in a UN report...
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Two South Carolina men charged after forcing alligator to drink beer Two South Carolina men each face a harassment charge after pictures surfaced on social media showing them pouring beer down...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Manuel Noriega aliyeiongoza Panama kwa mkono wa chuma kuanzia mwaka 1983-1989, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83. Alikuwa akiugua kwa muda mrefu. ====== General Manuel Antonio Noriega...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Watu 27 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya mabomu lililotegwa kwenye gari kulipuka nje ya mgahawa wa kuuzia aiskrimu. Shambulio hilo limetokea wakati wa jioni baada ya watu wakiwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wanaoishi katika mahusiano ya mume na mke bila kufunga ndoa nchini Burundi wameamrishwa kwamba wawe wameoana rasmi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu la sivyo wataaadhibiwa vikali. Msemaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom