eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Leo Rais Trump alikutana na Papa Francis nchini Vatican huku ombi kubwa la Papa Francis kwa Donald Trump likiwa ni kuizungumzia zaidi amani na kuitafuta zaidi amani kuliko vita.
Rais donald trump amemuahidi kulifanyia kazi ombi lake kuanzia leo na kuendelea.
Rais donald trump amemuahidi kulifanyia kazi ombi lake kuanzia leo na kuendelea.