Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 28
Za asubuhi wanajamvi, ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.
Leo nimeamka asubuhi katika kupitia pitia emails zangu nakutana na email yenye kichwa cha habari "Australian 2017 Global Resettlement" na attachment apo nimeisoma mara nne ila sijaielewa mantiki yake na madhumuni yake. Nikataka kuipotezea as spam ila nikaona nilete humu kama kuna mtu anaweza kunipa neno la ushauri. Maisha haya unaweza ukapiga teke fuko la ela.