Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Bado najiuliza hivi hali hii ingekuwaje kwa TBC kuona tukio kama hili?Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7 na kufanya mazungumzo mbalimbali.Kumbe kusafiri nje ya nchi ukiwa kiongozi mkuu kunasaidia kukutana na wakubwa wenzako