Libya Imekuwa Kitovu Cha Ugaidi

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Kuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya kigaidi nchini Libya baada ya mauaji ya wakristo 28 wa dhehebu la Coptic huko Misri. Kwasasa kuna makundi mengi ya kigaidi nchini Libya.

Ikumbukwe Kabla ya washirika wa NATO kumuondoa hayati Muhamed Ghaddafy aliyekuwa Rais wa Libya nchi hiyo ilikuwa haina aina yeyote ya ugaidi.

Kuzuka kwa vikundi hivi vya kigaidi inabidi dunia iwalaumu aliyekuwa Rais wa Marekani Baraack Obama, Rais mstaafu wa Ufaransa Nicholas Sakharov na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron.

image.jpeg

Hii picha seneta Maccain alipiga na kiongozi wa kimoja wapo kikundi cha kigaidi huko Libya
 
Ni kweli tusipende kushabikia vitu wamarekani na wafuasi wake wanajitengenezea matatizo wahamiaji wanaojaa ulaya ni kwa sababu ya kuangusha tawala ambazo ziliweza wadhibiti magaidi leo na hata siku zijazo ugaidi utaendelea na kushika kasi duniani
 
Kuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya kigaidi nchini Libya baada ya mauaji ya wakristo 28 wa dhehebu la Coptic huko Misri. Kwasasa kuna makundi mengi ya kigaidi nchini Libya.

Ikumbukwe Kabla ya washirika wa NATO kumuondoa hayati Muhamed Ghaddafy aliyekuwa Rais wa Libya nchi hiyo ilikuwa haina aina yeyote ya ugaidi.

Kuzuka kwa vikundi hivi vya kigaidi inabidi dunia iwalaumu aliyekuwa Rais wa Marekani Baraack Obama, Rais mstaafu wa Ufaransa Nicholas Sakharov na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron.

View attachment 515064
Hii picha seneta Maccain alipiga na kiongozi wa kimoja wapo kikundi cha kigaidi huko Libya

Nawaombea sana NK wafanikiwe afikishe nuke marekan ili nao waone maumivi ya ushenzi wanao fanya

Ukifatilia chanzo cha haya mambo unaweza usiwirahum magaidi (matukio hayo yakitokea nchi zinazo jiona wao ndio wanahaki zaid ya wengine ya kuishi hapa dunian mi naona sawa tuu) maana wao wanafanya uvamizi na kuuwa watu wengi sana wasio na hatia kwa mwavuli wa democrasia
Sasa hapo libria wameacha nin.
Na walifanya hayo wakiwa wanajua nin kitakacho tokea
 
Kuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya kigaidi nchini Libya baada ya mauaji ya wakristo 28 wa dhehebu la Coptic huko Misri. Kwasasa kuna makundi mengi ya kigaidi nchini Libya.

Ikumbukwe Kabla ya washirika wa NATO kumuondoa hayati Muhamed Ghaddafy aliyekuwa Rais wa Libya nchi hiyo ilikuwa haina aina yeyote ya ugaidi.

Kuzuka kwa vikundi hivi vya kigaidi inabidi dunia iwalaumu aliyekuwa Rais wa Marekani Baraack Obama, Rais mstaafu wa Ufaransa Nicholas Sakharov na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron.

View attachment 515064
Hii picha seneta Maccain alipiga na kiongozi wa kimoja wapo kikundi cha kigaidi huko Libya
mleta mada mada yako imetulia sana
 
Wamarekani walishirikiana kumuua Gadaf na Camroun na Sakorzy leo Libya imekua kituko hao watu waliofanya hayo wapo wala hawajauwawa wala kuchukuliwa hatua zozote ni ajabu kweli....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom