kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Kiongozi mkuu wa Israel kafurah sana Rais Trump kuitembelea Israel.
Na pia kampongeza kwa kutembelea Waislam, na wao WAJUZI kisha Wakristo, kwani akitoka hapo anaenda kwa Pop Vatican.
1. kwanini Israel wamejiita WAJUZI wakajitenga na Waislam pamoja Wakristo?
Kwa wataalam wa mambo naombeni mwongozo wenu, Wajuzi ni watu gani?
Source Azam two.