Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,222
Jamani jamani Dunia imekwishaharibika wandugu 2nakoerekea aise Mungu anajua!!!!!!
Madam amehinjwa kinyama na kuuawa kutoka kwa mufanyakazi wake wa ndani Raia wa ETHIOPIA .inadaiwa kuwa mfanyakaz huyo alimuonea wivu madam wake,,kisa na mkasa? kabeba mimba na ndipo akachukuwa uamuz wa kumuuwa/kumchinja kinyama kwa kutumia KISU. My take
Wivu ni mbaya mno aise. Hii ni laana wandugu co bure,,,,,, unamuuwa binti mdogo masikini ya Mungu kwasababu amebeba mimba!!!!!!!! wivu wa kijinga kabisa. binadamu 2nakuwa na roho ya kinyama mno wakati mwingine
Mutanisamehe wandugu picha zenyewe ni hiz hapa
Vidio hiyo hapo wandugu