error term
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 388
- 623
Historia inaeleza kuwa marekan haijawah kuwa na koloni bali imewahi kutawaliwa na waingereza hadi pale ilipo pata uhuru wake 1776.
Marekani ni taifa linalo ongoza dunia kwa unyonyaji wa kiuchumi bila ya haibu wa huruma na dunia ikiwa inafurahia jambo hilo kwa kuwatukuza na kuona wao ndio bora zaid.
Kabla ya marekan kuwa taifa lenye nguvu lilikuwa Uwingereza.
Baada ya vitu ya kwanza ya dunia ambayo marekan yeye alikuwa mtazamaji na mfanya biashara mkubwa kwa kusambaza chakula kwenye mataifa yaliyo kuwa yanapigana vita na vifaa vingine hii ilipelekea marekan kujipatia uchumi mkubwa ulio kunzwa na nchi za ulaya kwa kuwa wateja wake wakubwa.
Baada vita ya kwanza na yapili kuisha nchi nyingi za Ulaya zilifirisika na ziliitaji kupata mkopo kutoka Usa ambae alikuwa na ukwasi mkubwa.
US kwakutambao nchi za ulaya lizipata utajiri kwa njia ya unyonyaji yeye akaiboresha njia hiyo na kuifanya iwe bora zaid kwake kwa kuanzisha ukoloni mamboleo, na kwakuakikisha hili linafanikiwa akaweka kigezo cha mataifa yanayo taka kukopa kwake lazima yakubali kuachia makoloni yake na kuwapa uhuru, hili alifanikiwa kwa kiwango kikubwa ndio maana baadhi ya watu wanaamin marekan ndio iliyo saidia sana nchi za afrika na Asia kupata uhuru wake.
Baada ya nchi nyingi kupata uhuru ndipo marekan na washirika wake wakauleta ukolon mamboleo na kunyonya tukiwa tunawachekea, ktk mfumo huu marakan ndio ilikuwa inafaidika zaidi kutokana na kuwa na makapuni yenye mitaji mikubwa zaid na kuweza kuwekeza zaidi.
Kikwazo kikubwa ktk mfumo huu wa unyonjaji ni mfumo wa ujamaa ambao nguvu ya kutawala asilimali na uchumi wa nchi unakuwa kwa serikali, jambo hili kwako halikuwa jema maana walijua makapuni yao hayata weza pata nafasi ya kuvuna sana katika nchi zingine.
Ndipo alipo leta propaganda ya democrasia na kujifanya wao ndio wapenda haki za binadam ili waweze punguza nguvu ya ujamaa na waweze kujichukilia watakavyo, hapo ndipo utaona nchi nyingi za ujamaa zimekuwa na uwadui mkubwa na marekan kuliko nchi zingine za kibepari kama Ufaransa, Uwingereza Ujeruman na zingine maana Marekan ndio anaefaidika zaid na huu mfumo ndio maana amekuwa na uwadui na nchi kama Cuba, Russia, Nk, China, Zimbambwe, na nyingine zote za ujamaa.
Kutokana na kujipendekeza au nja zetu tumejigisha magoti mbele ya US tukiamin yeye ndio mwenye upendo na dunia na hata kufurahia uvamizi anao ufanya nchi mbalimbali kwa kivuli cha kutaka aman na democrasia kitu ambacho sio kweli hata kidogo.
Ila hakuna marefu yasio na ncha muda sio mrefu china atabadilisha mtazamo wa dunia na hili marekan wanalijua na awawezi tena lizuia.
Pro US unafurahia tunavyo nyonywa au mnajihis nanyi ni wamarekan na mkiishia kujia majina ya miji ya marekan na wasania wa marekan tuu