Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,457
Idara ya jeshi la marekan itajaribu kufanya jaribio la kudungua kombora la masafa marefu ICBM, maafisa wa pentagon wanasema jaribio hilo litafanyika jumatano wiki hii.
Kumekuwa na hali ya wasiwasi mjini Washington kuhusu uboreshaji wa miradi ya silaha za nuke pamoja na ICBM ya Korea kaskazini.
Matamshi hayo yanaonesha wasiwasi kwa marekani kuhusu mpango wa Pyongyang wa kutengeneza makombora mbalimbali ya nyuklia na Yale ya masafa marefu ambayo serikali ya Pyongyang inasema ni kwaajili ya ulinzi wake.
Pentagon ilitangaza jaribio hilo wakati ambapo Korea kaskazini inatengeneza ICBM na nuke.
Hii ni Mara ya kwanza kwa marekan kujaribu kuzuia kudungua ICBM , USA imekuwa ikitumia kifaa cha GMD kinachowekwa ardhini kukabiliana na mashambulio kama vile ya Korea kaskazini.
GDM inauwezo wa kudungua makombora mengne lakn hawajajaribu kudungua ICBM .
Huku pentagon wakiamini kwamba Pyongyang ina miaka mingi ya kuweza kifanikiwa kutengeneza makombora ya masafa marefu.
Wanaamini kwamba taifa hilo la Korea kaskazini limepiga hatua kubwa na linahatarisha usalama wa marekan na dunia nzima.
Source BBC