Wadau
Habari za hivi punde zinasema Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda amewasili Harare ili kumshawishi mpigania uhuru mwenzake Comrade Mugabe ajiuzulu kwa heshima. Mhesh Kaunda amefanya...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amekubali kujiuzulu kwa masharti kwamba yeye na mkewe Grace Mugabe wapatiwe kinga ya kudumu na mali zake binafsi zisiharibiwe wakati wa maisha yake yote baada ya...
It is fair for all africans leaders and all africans to stand for Mugabe and against imperialism.
Africans should say no in a moment of crisis when we decide if Mugabe is a bad guy to Africans...
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara.
1. The SADC Organ...
Tumeshuhudia jeshi la Israel likifanya mashambulizi kadhaa ndani ya nchi ya Syria katika operation tofauti tofauti kama vile kuharibu silaha za zinazohofiwa kusafirishwa kwa Hezbollah, kuharibu...
Wakati Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akihutubia Taifa hapo jana katika hotuba ambayo wengi walikuwa na matumaini kuwa Mugabe atajiuzulu na siyo ilivyokuwa, jambo lisilotegemewa lilijiri ambapo...
Shirika moja la reli Japan limeomba radhi baada ya moja ya treni zake kuondoka sekunde 20 mapema.
Wasimamizi wa shirika la treni za reli ya Tsukuba Express kutoka Tokyo hadi Tsukuba wanasema...
Wandugu nashindwa kuelewa mawazo ya Komred Mugabe,anaamini Kule anachoamini kuwa aongoze mpaka kifo kitakapo mkuta na ikiwezekana wananchi wachague maiti akifa huyo ndio IMANI ya Mzee wetu...
Hivi hili la Zimbabwe tumeamua kukaa kimya? Tumeshiriki kuikomboa na kuijenga ile nchi.
Tumeamua kuacha Mugabe afike hatua hii? Nini nafasi ya CCM kwenye vyama hivi vya ukombozi ambavyo...
Wadau hii sio habari nzuri hata kidogo
Huko Nchini Australia Wananchi Wamepiga kura Kwa Wingi wa 61.6% Kuruhusu mapenzi ya jinsia moja. Mara baada ya matokeo kutangazwa wananchi sehemu mbalimbali...
Madaktari nchini China wamefanikiwa kubadilisha kichwa kutoka kwenye mwili wa MAITI moja na kuuweka kwenye mwili wa MAITI nyingine,
Wanaamini kabisa inawezekana kuweka kichwa kingine kwa mtu...
Zimbabwe President Robert Mugabe has refused to eat since Saturday in a protest against his house arrest
Mugabe's nephew Patrick Zhuwao said on Saturday that Mr Mugabe was 'willing to die for what...
Ni mwezi mmoja tangu ndege aina ya helkopta iliyokuwa imeanguka ziwani Nakuru imeondolewa ambapo ilichukua juhudi za mashirika kadhaa kufanikisha hilo.
Katika tukio lililoshuhudia ndege aina ya...
Hali ya sintofahamu inazidi sambaa nchini Zimbabwe tokea Makamu wa Rais afukuzwe madarakani na Rais Mugabe >> Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais
Jeshi la nchi hiyo limeanza...
Habari wanaJF,
Nimeona ni vyema nikawapitisha kwenye wasifu mfupi wa ndugu Emmerson Mnangagwa ambaye anatajwa sana hivi sasa katika mgogoro wa kisiasa unaondelea katika nchi ya Zimbabwe...
TANZIA: Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Hispania, José Manuel Maza amefariki akiwa nchini Argentina alikokwenda kwaajili ya kuhudhuria mkutano.
> Atakumbukwa kwa kupinga vikali mchakato wa kujitenga...
Kenya kuna namna walivyoshughulikia uchaguzi wao na Zimbabwe kuna vile walivyoshughulikia utawala wao. Ni nini tunajifunza kutokana na matukio haya mawili?
Ana miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi...
Wadau Habarini.
Natoa tu mtizamo wangu kuhusu hali ya kisiasa Zimbabwe. Kiuhalisia kilic hotokea ni mapinduzi ya Kijeshi. Hata hivyo hakuna namna Serikali 'mpya' inaweza kuongoza nchi hiyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.