Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini...
Wadau
Huko Harare Makamu wa Rais Mphoko amegoma kurudi nyumbani kutoka kwenye ziara ya kikazi Japan akihofia usalama wake pamoja na kukamatwa kwa tuhuma za rushwa.Hakuwepo nchini wakati Jeshi...
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Taifa la Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa huenda akaapishwa rasmi leo au kesho kuwa Rais mpya wa nchi hiyo. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Katibu wa Sheria wa Chama cha...
MJUE GRACE MUGABE FIRST LADY NA MARIE ANTOINETTE WA ZIMBABWE
Na
Abdul Nondo
siku kadhaa tangu tusikie purukushane za kimamlaka huko Zimbabwe, Mama huyu Grace Mugabe amekuwa akijadiliwa zaidi...
Wadau habarini.
Najua baadhi yenu mtashangaa kwa taarifa hii lakini huo ndio ukweli kwa mujibu wa Katiba husika.
Mara tu mchakato wa kumuondoa 'impeachment' Comrade Robert madarakani...
Baada ya kufatilia sakata la mzee mugabe tangu linaanza hadi mugabe anajiuzulu nimegundua kwamba mugabe na chama chake
Pamoja na maveterani wamecheza na akiri za waafrica na wazimbambwe...
Queen Elizabeth has been in power so long, 4 out of 5 UK residents weren't alive when she ascended the throne
Queen Elizabeth II has ruled for so long that most people in the United Kingdom have...
Raia wa china wakishirikiana na wanajeshi katika ufukwe wa Jiji la Qidong walishirikiana kumuokoa na kumrejesha baharini nyangumi alitupwa ufukweni na mawimbi.
My take: ingekuwa haoa kwetu polis...
Hapo ndio unaona ulaghai wa nchi hizi za kiafrika zinazoongozwa kwa mifumo kama hii yetu hapa nyumbani.
Mnaambiwa kwenye uchaguzi kiongozi anapita kwa kishindo (asilimia nyingi) lakini kuna watu...
Katika maisha yangu natamani kuwa enzi watu waliotoa nguvu zao na hakili zako kupigania masirahi ya wengine. Africa tulijariwa kuwa na watu mashujaa ambao walikubari kuteswa na wakoloni kwa ajili...
Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.
Kitendo chake...
Mlipuko uliotokea katika Msikiti wa Mubi uliopo Kaskazini mwa Nigeria umedababisha vifo vya watu takribani 50.
Inadaiwa kuwa aliyejitoa mhanga ni kijana aliyewalenga watu waliofika kwaajili ya...
Rais Robet Mugabe ameitisha kikao cha baraza la mawaziri kesho Jumanne Ikulu Katibu Mkuu ametoa taarifa hiyo, hii ni siku moja chama kimepanga kumuondoa
Hii ni mara ya kwanza mawaziri kuitwa...
Navy wanasema ametenda kitendo kisichokubalika kuchora kiungo cha uzazi kwa mvuke wa fighter jet huko angani.
Mwenyewe Ramone Duran anasema baada ya kuchora nikautazama mchoro Wangu kisha...
A man gestures towards a banner during a demonstration demanding the resignation of Zimbabwe's president on November 18, 2017 in Harare. Country’s MPs are set to vote on whether to impeach...
Chama cha rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kinatarajiwa kuanza mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae.
Afisa wa Zanu-PF amesema kuwa hoja ya kumnyang'anya urais itawasilishwa bungeni leo...
Mugabe: Kamwe sitamwamini
Mzungu
Asema wazungu kwao si Afrika
KAMWE sitamwamini Mzungu
hata siku moja, mweupe pekee
wa kumwamini ni yule aliyekufa,
wazungu kwao si Afrika, Afrika ni
ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.