Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
Makamu wa Rais wa Mugabe aliyetimuliwa na Mkuu wa Majeshi walikwenda China kabla ya mipango ya kumwondoa Rais Mugabe na baada ya kushauriana na viongozi waandamizi wa China ndipo mipango ya kumwondoa Rais Mugabe ilifanyika. Serikali ya China ilitaka Rais Mugabe aondolewe madarakani bila vurugu zozote. China ndio mfadhili mkubwa wa nchi hiyo ya Zimbabwe mpaka sasa serikali ya China imeshatoa zaidi ya dola Bilioni 15 kwa ajili ya maendeleo ya Zimbabwe lakini sehemu kubwa za pesa hizo zimetoweka kwa njia ya ufisadi.View attachment 634199 How China helped depose 'dozing despot' Mugabe (click)
siyo thread ni threat ahahahhaHii nayo ni thread?