Harare, Zimbabwe. Mamlaka nchini Zimbabwe zimekubaliana kuwa Robert Mugabe aliyejiuzulu wiki hii hatafunguliwa mashtaka na badala yake ataendelea kupata haki zake zote kama kiongozi mstaafu.
Duru...
Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatafutwa na mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, anatarajiwa Alhamisi, Novemba 23 nchini Urusi.
Rais wa Sudan atafanya ziara yake ya kwanza rasmi nje ya nchi...
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo. harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge...
Vyama hasimu nchini Palestina, Fatah na Hamas vyakubaliana kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka 2018 ikiwa ni sehemu ya makubaliano yaliyofanyika Cairo nchini Misri.
Kwa mujibu wa taarifa baada ya...
Wakati mwisho wa utawala wa miaka 37 wa mume wake Aliyekuwa Rais Robart Mugabe wa Zimbabwe ukiwa wa aibu, sababu tano za wananchi wa taifa hilo kumchukia Grace Mugabe zimeanikwa.
Kwa mujibu wa...
Polisi nchini Uganda wamelifunga jarida moja kubwa zaidi la habari za udaku The Red Pepper, na kuwatia mbaroni baadhi ya wafanyakazi wake.
Wakurugenzi wakuu watano wa gazeti hilo wanazuiliwa na...
Matumaini Zimbabwe ni salama na hii ...
Huyu ni mtoto wa Emerson Mnangagwa, Rais wa Zimbabwe anayekuja anaonyesha utajiri wake.
Je, Mnangagwa ataisha uporaji...
Kalamu yangu kuhusu yaliyo tokea Zimbabwe, au Soma katika gazeti la #Mwananchi la jana !
[emoji116][emoji116]
========
Awali niweke wazi msimamo wa kutokubaliana na mapinduzi yoyote ya kijeshi...
Rais mtarajiwa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amerudi nchini humo kutoka uhamishoni Afrika Kusini.
Mnangagwa anayepigiwa chapuo la kuwa Rais Mpya wa nchini hiyo alienda kuishi uhamishoni nchini...
Baada ya kupigwa marufuku kuomba na kulala ovyo ovyo kwenye veranda za maduka katika mji wa Middlesbrough, Bradley Grimes alimuomba jaji wa mahakama ammpeleke gerezani kuliko kumuacha bila makazi...
Habari ya muda wakuu.
Chama tawala nchini Zimbabwe kimepanga kumfukuza uanachama mwanachana, mwenyekiti wa chama hicho na rais wa nchi hiyo hapo kesho jumapili tarehe 19.11.2017.
Hii ni baada ya...
Ndani ya siku moja iliyopita wazimbabwe wamepata kile walichokua wanakihitaji.
Si kwamba jambo hili lilikua rahisi hapana Bali msimamo mkali na thabiti wa raia wa Zimbabwe usioyumbishwa ndio...
Kuonekana kusiko kawaida kwa mamba mweupe mwenye umri mkubwa kumewasisimua wanaofanya shughuli za utalii katika eneo la Kaskazini mwa Australia.
Mnyama huyo wa jamii ya wanyama watambaao ...
Pamoja na Mugabe kugoma kujiuzulu wala kugusia hilo kupitia hotuba yake kwa Taifa Jumapili iliyopita, ni dhahiri kuwa kiongozi huyo mkongwe Afrika yupo ukingoni. Jumapili mchana, chama tawala cha...
Ni ukweli usiopingika kuwa jamaa atakuwa rais wa Zimbabwe
Mimi najiuliza kwa nini jina la utani wanamwita mamba ?
Hasa nikitazama tabia za mamba mfano.
Hula wanyama mpaka mtu ni kitoweo cha mamba...
Majaji wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita mjini The Hague, Uholanzi, wamemhukumu kifungo cha maisha kamanda wa zamani wa Bosnia na Serbia Ratko Mladic katika kesi ya mauaji ya halaiki iliyokuwa...
Rais Yoweri Kaguta Museven ameahidi neema za "Mito ya asali na maziwa" kwa watumishi wake wa umma hususani WANAJESHI,amewahakikishia MAISHA BORA,na mambo kedekede.
Lakini wakati akiyasema hayo...
Tupanuane mawazo ili tujijenge kisiasa na kijamii. Hivi mtu kama Rais Trump (Rais wa Amerika), anaweza kufanyia vikao vya chama chake (REPUBLICAN) pale ikulu ya White House?
Kama hapana, ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.