Tanzania kwenye siasa za Zimbabwe

Tanzania kwenye siasa za Zimbabwe

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,161
Reaction score
35,719
Hivi hili la Zimbabwe tumeamua kukaa kimya? Tumeshiriki kuikomboa na kuijenga ile nchi.

Tumeamua kuacha Mugabe afike hatua hii? Nini nafasi ya CCM kwenye vyama hivi vya ukombozi ambavyo vilijengwa na manguli wa siasa wa Tanzania? Hivi hatuna tena commreds ambao Mugabe anaweza kuwaonea aibu wakafikia muafaka bila aibu inayoelekea kuja kwa mzee wetu?

Mnategemea Mugabe aheshimu ujumbe kutoka South Africa ambayo haipi heshima kiwango cha Tanzania sababu ya Nyerere? Tunahitaji kurudisha ule ushawishi wetu kwenye siasa za dunia.

Akina Mugabe ndio wazee wetu na heshima yetu, tusisubiri aibu ya Gadafi tukaja kulaumiana baadae.

Tanzania tunaweza kufanya kitu (hapa nazungumzia international politics tusilete siasa zetu za ndani).
 
Nimetoka kuandika kwenye uzi wa Mohammed Said juu ya ulegelege wa Diplomasia yetu.

Kwenye hili tulitakiwa kuwa on the top.

Sijui nini kimemsibu Mahiga
 
Kesi ya nyani umpelekee ngedere!
Tz ya miaka ile 50 yrs ago siyo ya leo
JK alikuwa kiongozi wa mwisho Africa ingemsikiliza leo hii mtapata haya mkijaribu kusuluhisha ya jirani wakati ya kwenu Hali haitofautiani na kwao
Time has come this type of leaders HAVE TO GOOOOO! Endeleeni kumlea bashite Time will come YATATIMIA.
Mugabe deserves kuondolewa madarakani negotiations zikishindwa basi aaendelee kugoma kula
Nchi haiwezi kuendeshwa na remote.
 
Nilitegemea kuiona CCM moja kwa moja kwenye kuisadia ZANU PF kwenye kipindi hiki cha mpito. Ushawishi wa CCM kwenye vyama vya ukombozi Africa umepungua? Pengine siasa hizi hazina faida tena kwetu hivyo tumejitenga nazo kimya kimya?
 
Kuisaidia ZANU-PF kuendelea ‘kuifanya’ Zimbabwe? Yaani sijaelewa msingi wa hoja yako! Kuisaidia for the sake of what? Kuonyesha solidarity? Bob deserves the medicine that he is getting. Let Zimbabweans decide and do what is best for them and their country.

Eti CCM waisaidie ZANU-PF! CCM yenyewe inahitaji msaada (luckily wanapewa msaada na vyombo vya ulinzi na usalama).

Hiyo narrative ya vyama vya ukombozi ni old gag! Vyama hivyo havijafanikiwa hata kutimiza ahadi vilivyoahidi wakati wa kupigania ukombozi. Why keep on sticking with them? Wazimbabwe wanafanya jambo sahihi kabisa! It took them so long to do this, but they are on the right track.

CCM also needs to go! Tatizo maCCM na mashabiki wake ni zombies! So, I don’t expect what is happening in Zimbabwe to happen in Tanzania soon!
 
Nyerere alienda Zambia kuokoa aibu ya Rais Kaunda aliposwekwa ndani na Chiluba. Baba wa Taifa alitujenga ili tuwe na ushawishi ambao baadae vizazi vyenye akili vingekuja ku capitalise ushawishi huu kiuchumi kama tulivyofanikiwa kwenye issue ya Bomba la gesi kutoka Uganda over Kenya. Kwanini tunaelekea kupoteza hiyo nafasi na nguvu? Huu urithi mbona unapotea badala ya kukua kwa faida ya vizazi vinavyokuja? CCM mnaelekea kupoteza hili pia?
 
Of All the current African Leaders ; ni Mugabe pekee ndiye anayempa heshima anayostahili Mwasisi wa Taifa letu; Mwakimu JK Nyerere.

Tulipaswa kumpa support; ila jeshi la Zimbabwe pia limejitahidi kuepuka kutokea kwa Libya nyingine.
 
Point less so kama anampa heshima tufanyeje?? Wewe hiyo heshima inakusaidia nini ??
 
Nilitegemea kuiona CCM moja kwa moja kwenye kuisadia ZANU PF kwenye kipindi hiki cha mpito. Ushawishi wa CCM kwenye vyama vya ukombozi Africa umepungua? Pengine siasa hizi hazina faida tena kwetu hivyo tumejitenga nazo kimya kimya?
Kuna tatizo?
 
Ccm hii chini ya mwenyekiti asiyejitambua na msemaji wake Pole pole?!
 
Wanachi na Jeshi hawamtaki nyie mnataka kuwanganganiza Mugabe aendelee kutawala

Ova
 
Mkuu unategemea kurudisha hadhi ya Tanzania iliyokuwepo miaka ya nyuma na huyu dhalimu ambaye juzi kule UN ameshindwa kupiga kura kulaani unyama wa hali ya juu unaofanywa kule Rohingya? Huwezi kuheshimika kwenye siasa za dunia kama kuna dhalimu ambaye haheshimu katiba, sheria za nchi na Bunge etc eti ndiye kiongozi wa nchi.

Hivi hili la Zimbabwe tumeamua kukaa kimya? Tumeshiriki kuikomboa na kuijenga ile nchi.

Tumeamua kuacha Mugabe afike hatua hii? Nini nafasi ya CCM kwenye vyama hivi vya ukombozi ambavyo vilijengwa na manguli wa siasa wa Tanzania? Hivi hatuna tena commreds ambao Mugabe anaweza kuwaonea aibu wakafikia muafaka bila aibu inayoelekea kuja kwa mzee wetu?

Mnategemea Mugabe aheshimu ujumbe kutoka South Africa ambayo haipi heshima kiwango cha Tanzania sababu ya Nyerere? Tunahitaji kurudisha ule ushawishi wetu kwenye siasa za dunia.

Akina Mugabe ndio wazee wetu na heshima yetu, tusisubiri aibu ya Gadafi tukaja kulaumiana baadae.

Tanzania tunaweza kufanya kitu (hapa nazungumzia international politics tusilete siasa zetu za ndani).
 
Nilitegemea kuiona CCM moja kwa moja kwenye kuisadia ZANU PF kwenye kipindi hiki cha mpito. Ushawishi wa CCM kwenye vyama vya ukombozi Africa umepungua? Pengine siasa hizi hazina faida tena kwetu hivyo tumejitenga nazo kimya kimya?
Wawasaidie kwenye mchemsho alioufanya mke wa mugabe
 
Nyerere alienda Zambia kuokoa aibu ya Rais Kaunda aliposwekwa ndani na Chiluba. Baba wa Taifa alitujenga ili tuwe na ushawishi ambao baadae vizazi vyenye akili vingekuja ku capitalise ushawishi huu kiuchumi kama tulivyofanikiwa kwenye issue ya Bomba la gesi kutoka Uganda over Kenya. Kwanini tunaelekea kupoteza hiyo nafasi na nguvu? Huu urithi mbona unapotea badala ya kukua kwa faida ya vizazi vinavyokuja? CCM mnaelekea kupoteza hili pia?
siasa siku hizi zimebadilika mkuu,huwezi kuwa una ushawishi wa maana km huna cha kuoffer, i mean nchi maskin km hii haina chochote cha kuoffer
 
Ukiona hivyo, ujue Tanzania hatuna tena "Influence" kwenye medani za siasa za Africa.... Mambo yanabadilika sana tena kwa kasi. It is not like those old ages.
 
Nilitegemea kuiona CCM moja kwa moja kwenye kuisadia ZANU PF kwenye kipindi hiki cha mpito. Ushawishi wa CCM kwenye vyama vya ukombozi Africa umepungua? Pengine siasa hizi hazina faida tena kwetu hivyo tumejitenga nazo kimya kimya?
Unaiongelea CCM hipi? Embu tuanzia hapo kwanza... Hii CCM ya kina kibajaji?
 
So.mnategemea Polepole akaongee nini na wale Makamanda[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Iv mmeona kwamba since mgogoro wa Zimbabwe uanze Ngosha amepunguza kiki....naona ameanza kuogopa
 
siasa siku hizi zimebadilika mkuu,huwezi kuwa una ushawishi wa maana km huna cha kuoffer, i mean nchi maskin km hii haina chochote cha kuoffer
Umesema kweli kabisa. Kumbuka kwamba enzi hizo, Tanzania ilitoa si tu ardhi, na facilities za kijeshi kusupport vyama vya ukombozi, bali pia watu wetu walikuwa msitari wa mbele katika mapigano huko. Hali ilivyo sasa hivi si tu kwamba hatuna itikadi ya kueleweka, bali pia hatuna material support tunayotoa. We also lack the philosophical, ideological and diplomatic sophistication that is required to influence events in other parts of Africa. Nyerere was a giant in that arena.
 
Back
Top Bottom