Kenya kuna namna walivyoshughulikia uchaguzi wao na Zimbabwe kuna vile walivyoshughulikia utawala wao. Ni nini tunajifunza kutokana na matukio haya mawili?
Kwa sisi viongozi wa nchi tunajifunza kuwa nyie wananchi si watu wa kujaribiwa jaribiwa...tutaheshimu katiba na kutii yale maandiko ya ukomo wa uongozi(KWA NIABA YA MKULU KUMWAO)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.