Propaganda za Magharibi zinaelekea kushindwa kumtoa Mugabe Zimbabwe

jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,943
Likes
17,694
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,943 17,694 280
do5m7gew0aeojj8-jpg.633226
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara.1. The SADC Organ Troika Plus Council Chairperson Ministerial Meeting was held at the SADC Secretariat in Gaborone, Republic of Botswana on 16th November 2017, comprising of the Republic of South Africa (Chairperson of Council of Ministers), Republic of Angola (Chairperson of Organ), Republic of Zambia (Incoming Chairperson of Organ) and United Republic of Tanzania (Outgoing Chairperson of Organ).

2. SADC Organ Troika Plus reafirmed SADC's commitment to African Union (AU) Constitutive Act and the SADCs Democratic Principles, as they relate to the unconstitutional removal of democratically elected Governments.

3. The objective of the meeting was to consider the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe.

4. SADC Organ Troika noted with great concern the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe

5. SADC Organ Troika further reafirmed the need for SADC Member States to remain guided by their Constitutions.

6. SADC Organ Troika called upon all stakeholders in Zimbabwe to settle the political challenges through peaceful means

7. Having considered the unfolding situation in the Republic of Zimbabwe, the Organ Troika recommended the convening of an urgent Extra Ordinary SADC Summit and committed to remain seized with the situation in the Republic of Zimbabwe.

Done at Gaborone, Republic of Botswana, 16th November, 2017

Southern African Development Community :: Press Release: SADC Organ Troika Plus Council Chairperson Ministerial Meeting discusses the Political Situation in Zimbabwe
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,939
Likes
4,837
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,939 4,837 280
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuobesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara
You can only wish. Viongozi wengi WA Africa wana laana. Wenye laana zaidi in wale wanao support ujinga wao kwa ajiri ya kushibisha matumbo yao bila kuangalia maisha ya raia wenzao.

Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ni kanuni ya maisha na binadamu hawezi kuipangua. Ndo maana nawadharau sana vijana wadogo akina Bashite wanapata madaraka wanashindwa kuyatumia kwa hekima na busara. Mwisho wa siku wataondoka madarakani kwa aibu na fedheha.

Huwezi kukaa madarakani Milele. Leo dos Santos yuko wapi? Familia yake iliyohodhi utajiri WA waAngola iko wapi? Gadafi, Abacha, Moi, na wengine wengi tuu.......

Hata akina M7, Kagame, Nkurunziza...it's a matter of when not if.
 
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
1,523
Likes
1,212
Points
280
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
1,523 1,212 280
Mnaomshabikia Mugabe kuendelea kubaki madarakani mnastahili kupimwa akili huenda ubongo ni mdogo. Mtu wa miaka 93 ana nini jipya kwa nchi. Ukizeeka mwili unakuwa umechoka na akili pia inachoka. Mugabe ameifanya Zimbabwe kuwa maskini kupindukia kutoka an asera zake mbaya za uchumi. He must go.
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,000
Likes
13,809
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,000 13,809 280
You can only wish. Viongozi wengi WA Africa wana laana. Wenye laana zaidi in wale wanao support ujinga wao kwa ajiri ya kushibisha matumbo yao bila kuangalia maisha ya raia wenzao.

Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ni kanuni ya maisha na binadamu hawezi kuipangua. Ndo maana nawadharau sana vijana wadogo akina Bashite wanapata madaraka wanashindwa kuyatumia kwa hekima na busara. Mwisho wa siku wataondoka madarakani kwa aibu na fedheha.
Mkuu umegusa ukweli, viongozi wa Africa wanadharau sana wananchi wao kwasababu ya watu wachache wanaonufaika na utawala wao kuwajaza kiburi
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
20,778
Likes
14,983
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
20,778 14,983 280
Wanatumia mbinu zote kupitia media hadi kuandaa maandamano feki yaliyohudhuriwa na whites ili kuonesha kuwa hatakiwi lakini mbabe huyu mkongwe amegoma na kusimama imara
Ongea majestically, wala usiwe na hofu!
Mugabe aliwaongoza wazimbabwe kudai uhuru.

Heshima hii haifutiki.

Wenye akili hawagombani nayo.
I stand with Mugabe come what may.
 
Umslopagazi

Umslopagazi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,207
Likes
279
Points
180
Umslopagazi

Umslopagazi

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,207 279 180
You can only wish. Viongozi wengi WA Africa wana laana. Wenye laana zaidi in wale wanao support ujinga wao kwa ajiri ya kushibisha matumbo yao bila kuangalia maisha ya raia wenzao.

Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ni kanuni ya maisha na binadamu hawezi kuipangua. Ndo maana nawadharau sana vijana wadogo akina Bashite wanapata madaraka wanashindwa kuyatumia kwa hekima na busara. Mwisho wa siku wataondoka madarakani kwa aibu na fedheha.

Huwezi kukaa madarakani Milele. Leo dos Santos yuko wapi? Familia yake iliyohodhi utajiri WA waAngola iko wapi? Gadafi, Abacha, Moi, na wengine wengi tuu.......

Hata akina M7, Kagame, Nkurunziza...it's a matter of when not if.
Vibaraka Work
 
Hiko ni kilio cha kinafiki kutoka Magharibi
 
Lisa Rina

Lisa Rina

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,839
Likes
2,198
Points
280
Lisa Rina

Lisa Rina

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,839 2,198 280
Yani wewe jingalao sielewi mantiki yako iko vp sababu hata akitoka atakaeingia si ni wa chama hiko hiko?yani ww ni mfia chama. Yaani ili mradi tu ulete ligi...Mzee kama huyo kama unampenda sana ungeona anastahilli kupumzika na kula pension yake kwa amani ila ww kila suala unataka u relate na siasa zako uchwara za uccm..
 
Forum statistics

Threads 1,236,888
Members 475,327
Posts 29,271,045