Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,297
- 30,881
Ana miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi.
Mohammed bib Salman ni jasiri siyo muoga na aangalii sura. Ana elimi nzuri. Ametawazwa kuwa mrithi wa baba yake aking Salman.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanadai jamaa anataka kuleta mageuzi makubwa kwenye Kingdom na kufanya Saudia ifanane na Dubai.
Nimeeanza kumfuatilia kwa karibu Sana huyu dogo
Elungata Pohamba