Mzuqa tena kwa sana tuu its friday!
Moja kwa moja kwenye mada
Wamatumbi, waswahili ama Waafrika tunabebeshwa sana mizigo.
Mkuu wa intelejensia Saudi arabia " TISS" ya Saudi huenda akasingiziwa...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetishia kuchukua hatua za kimataifa dhidi ya Angola kufuatia kufurushwa kwa takriban Wacongo laki mbili kutoka taifa hilo jirani, huku ikiripotiwa...
Mzuqa wanajamvi,
Kati ya habari iliyohit na kutrend kwenye vyombo vya habari duniani ni kupotea kwa aliyekuwa muandishi mahiri wa gazeti la Al Watan Saudia na washington Post Jamal Khashoggi...
Uturuki inatumia karibu kiasi sawa na inachotumia Marekani katika misaada ya nje
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Çavusoğlu, akiongea katika ufunguzi wa mwaka wa masomo wa chuo kikuu cha New...
Mzuqa!
Turkish intelligence wametoa picha za wauaji waliotumwa ubalozi wa mdogo wa Saudia Instanbul kwa nia moja tu kumuua kwa Kikatili Khashoggi.
Nigeshangaa kati ya hao 15 angekosa...
Licha ya kiburi cha Trump; Marekani ina deni kubwa zaidi la China
Wizara ya Hazina ya Marekani imesema kuwa, nchi inayoidai fedha nyingi zaidi Marekani ni China.
Wizara ya Hazina ya Marekani...
Niliwahi kuandika makala hapa jamvini kuwa Marekani ndio nchi inayopata misaada ya kijeshi na kiulinzi hapa duniani kuliko nchi yeyote,nikadharaulika.Kama kweli marekani ni Supa power kweli...
Bangi
Bange
Msuba
Ganja
Njaga
Innocent plant
Mmea
Mjani
Etc kila mmoja anajina lake
Imetangazwa kuwa kiburudisho halali nchini Canada. Imekuwa nchi ya pili duniani kuhalalisha.
Ila
Ni kosa...
Upelelezi Nchini Uturuki wabainisha kuwa Mwandishi wa Habari Mr. Jamal Khashoggi aliuliwa baada ya kuhojiwa, alipoingia Ubalozi wa Saudia Arabia kisha mwili wake ukakatwa mapande !!
My take...
Upelelezi Nchini Uturuki wabainisha kuwa Mwandishi wa Habari Mr. Jamal Khashoggi aliuliwa baada ya kuhojiwa, alipoingia Ubalozi wa Saudia Arabia kisha mwili wake ukakatwa mapande !!
Kwa hisani ya...
Imeonekana wazi ikiwa mwanamfalme Mohamed Bin Salman akaukwaa ufalme wa Saud Arabia kuna hatari mashariki ya kati kupata dikteta mbaya zaidi ya aliyekuwa Rais wa Iraq Saddam Hussein.
Mwanamfalme...
China to launch artificial 'moon' into orbit to light up city
Joseph Archer
The TelegraphOctober 17, 2018
Officials have intentions to have a satellite in orbit by 2020 that will be able to...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumza na mwenzake wa Syria Bashar al-Assad kwa mara ya kwanza tangu tukio la kuangushwa kwa ndege ya jeshi la Urusi nchini Syria wiki iliyopita.
Katika...
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Hazina ya Marekani amekamatwa na kushtakiwa kwa kuweka wazi taarifa nyeti za miamala ya kifedha inayohusiana na taasisi mbalimbali zinazohusiana na Rais Donald Trump...
TAKRIBANI WATU 18 WAMEFARIKI KATIKA MLIPUKO WA BOMU NCHINI URUSI
Watu wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika mlipuko huo uliotokea kwenye chuo kimoja katika mji wa Kerch huko Crimea huku...
Kwa mujibu wa afisa mmoja wa Serikali ya Uturuki asema mwili wa Mwanahabari Jamal Khashoggi ulicharangwa vipande baada ya kuawa ili kupoteza ushahidi
Jamal Khashoggi alionekana akiingia ndani ya...
Former President Jacob Zuma was getting married last weekend for the 7th time. Indoda ayigugi, forever young.
The latest wife is 24 and uZuma is now 76
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.