Takribani watu 18 wamefariki katika mlipuko wa bomu nchini Urusi

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
TAKRIBANI WATU 18 WAMEFARIKI KATIKA MLIPUKO WA BOMU NCHINI URUSI

Watu wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika mlipuko huo uliotokea kwenye chuo kimoja katika mji wa Kerch huko Crimea huku majeruhi wengi ni vijana

Kitengo cha kupambana na uhalifu wa Kigaidi nchini humo kimeeleza kuwa mlipuko umesababishwa na kifaa ambacho hakijafahamika bado

Aidha, Kitengo cha Upelelezi kimesema kuwa kifaa hicho cha mlipuko kimelipuka leo, Oktoba 17 kikiwa katika chumba cha kulia chakula chuoni hapo

Msemaji wa Crimea, Dmitry Peskov amesema kuwa uwezekano wa kuwa mlipuko huo ni shambulio la kigaidi haujadharauliwa na unafanyiwa kazi
=======

At least 18 people were killed -- most of them teenagers -- and about 50 more injured following a possible terror attack in Russian-annexed Crimea, according to Russia.

Russia's National Anti-Terrorism Committee told CNN in a statement that the blast was caused by an "unidentified explosive device" at a college in the city of Kerch -- where a new 19-kilometer bridge links Crimea to Russia.

Russia's Investigative Committee said in a statement: "According to preliminary data, an unidentified explosive device packed with metal objects went off today in the dining room of the Kerch Polytechnic College."

It said information on the victims is being clarified and that "most of them are teenagers."
Russia's TASS news agency said Sergey Aksyonov, the head of the Crimean government, said the perpetrator of the "terror act" committed suicide.

Kremlin spokesperson Dmitry Peskov said Wednesday that the possibility that this was a terror attack "is being considered."

"The President has instructed the Ministry of Health and Emergency Services Ministry to take emergency measures to assist victims of this explosion, if necessary, to ensure the urgent transportation of seriously wounded patients to leading medical institutions of Russia, whether in Moscow or other cities," Peskov said.

Russian state media, quoting emergency-services officials, reported earlier that a suspected gas explosion at a technical college claimed several lives and injured dozens of people. State television channel Rossiya-24 said 200 military personnel had been sent to the site of the incident.

Crimea -- a peninsula south of Ukraine, which is surrounded by the Black Sea and the Sea of Azov -- was annexed by Russia from Ukraine in 2014.
Crimea college shooting investigated as murder, not terror attack – investigative committee
Source: RT.com

===
Walale pema peponi waliofariki katika shambulio hili. Amina.
Poleni warussia kwa msiba huu.
 
Mkuu, nimejaribu kuiangalia hii habari kwenye mitandao ya kijamii najua ni haraka sana kwa kusema hivi, kwa nini Ukraine kwa kiasi chake inalaumiwa katika hili? Najua ni mawazo ya watu lakini kwa nini katika hili baadhi wanailaumu Ukraine katika hili?
 
Mrusi anaitafutia Ukraine kila aina ya sababu ili amchape. Hizo ni harakati tu za kumpa mbwa jina baya ili ku-justify mauwaji yake. No wonder huo mlipuko ni wao wenyewe warusi wanahusika.
 
Ina wezekana walahi
Siasa ni hatari walahi
 
Double standard hiyo Ukraine kaa tayari kutandikwa, Kama wenzio Georgia, na Chechnia.....wazungu Wana akili Sana.
 
Mrusi anaitafutia Ukraine kila aina ya sababu ili amchape. Hizo ni harakati tu za kumpa mbwa jina baya ili ku-justify mauwaji yake. No wonder huo mlipuko ni wao wenyewe warusi wanahusika.
Tatizo Ukraine anawashwa washwa. Kamleta adui wa Russia kuichunguza S300
 
Crimea carnage: Shooting heard as college massacre unfolds

A student killed nineteen people and injured at least 40 in a gun rampage at his school in Crimea today.

Vladislav Roslyakov, 18, stalked his college halls with a rifle, shooting 19 dead and then killing himself in the school library.

The teenager, who is thought to have obtained his gun with a hunting licence, also set off a homemade nail-bomb in the canteen which blew out the windows but did not kill anyone, according to reports.

Video showed terrified students running and screaming during the attack on Kerch Polytechnic College where the shooter was a fourth-year pupil.

One student said: 'There was a guy with a gun and shooting everyone he could find.' Another added: 'The walls were covered in blood, we climbed the fence to escape.'

Dozens of soldiers rushed to the school suspecting a terrorist attack but Russian police later described the killing as mass-murder.

Bloody victims, most of whom were teenagers, were seen being taken to hospital in ambulances and minibuses.

The director of the college said: 'There were lots of corpses, corpses of kids.'

https://www.dailymail.co.uk/news/ar...explosion-school-Russian-occupied-Crimea.html
 
Back
Top Bottom