DR Congo yatishia kuchukua hatua za Kimataifa dhidi ya Angola


Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
221
Likes
269
Points
80
Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
221 269 80
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetishia kuchukua hatua za kimataifa dhidi ya Angola kufuatia kufurushwa kwa takriban Wacongo laki mbili kutoka taifa hilo jirani, huku ikiripotiwa waliondolewa nchini humo kwa nguvu na kwa kutumia ghasia.

Waziri wa mambo ya nje wa Congo Leonard She Okitundu amesema nchi yake inaitaka serikali ya Angola kufanya uchunguzi wa kina kujua ni kina nani walihusika na vitendo hivyo vya kikatili, la sivyo watalazimika kuliwasilisha suala hilo katika ngazi ya kimataifa.

Tangu mwanzoni mwa mwezi huu, Angola imewafukuza Wacongo karibu laki mbili kutoka jimbo la kaskazini la Lunda Norte, linalopakana na Congo, wengi wao wakitajwa kuwa wahamiaji haramu wanaofanya kazi katika migodi ya Almasi.

Kulingana na ripoti iliyowasilishwa katika kikao cha baraza la mawaziri, kilichosimamiwa na Rais Joseph Kabila, Wacongo 30,000 walifukuzwa Angola katika mazingira ya ghasia na wengine waliuawa

img_20181019_083952_067-jpg.902988
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
2,438
Likes
596
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
2,438 596 280
Kama zikipigwa hapo Nani atadhinda?
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
2,438
Likes
596
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
2,438 596 280
DRC matatizo yake ya ndani yamemshinda mfano waasi kule kivu ndo aweze kuipiga Angola moja ya taifa babe kusini mwa Africa.
Bado sijapata jibu Je zikipigwa Nani atadhinda?
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,162
Likes
879
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,162 879 280
Bado sijapata jibu Je zikipigwa Nani atadhinda?
Angola atashinda bila shaka japo kupigana haiwezekani maana hawa ni nchi rafiki (zote ziko Sadc) na huo mzozo umekaa kidiplomasia zaidi hayo ni mambo ya kuzungumza tu.
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
2,438
Likes
596
Points
280
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
2,438 596 280
Angola atashinda bila shaka japo kupigana haiwezekani maana hawa ni nchi rafiki (zote ziko Sadc) na huo mzozo umekaa kidiplomasia zaidi hayo ni mambo ya kuzungumza tu.
Haya sawa
 
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
11,633
Likes
15,471
Points
280
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
11,633 15,471 280
Angola atashinda bila shaka japo kupigana haiwezekani maana hawa ni nchi rafiki (zote ziko Sadc) na huo mzozo umekaa kidiplomasia zaidi hayo ni mambo ya kuzungumza tu.
Umeongea sahihi
 

Forum statistics

Threads 1,235,128
Members 474,351
Posts 29,212,700