Marekani na Israel zaenda Ukraine kujifunza namna ya kuikwepa s300

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,146
33,292
Niliwahi kuandika makala hapa jamvini kuwa Marekani ndio nchi inayopata misaada ya kijeshi na kiulinzi hapa duniani kuliko nchi yeyote,nikadharaulika.Kama kweli marekani ni Supa power kweli inakuaje inategemea nchi nyingine kuikabili Urusi,ama silaha za Urusi?hiliorodhesha nchi nyingi zinazoshirikiana na Marekani ama kuikabili Urusi ama kuzikabili silaha za Urusi.Urusi iko peke yake.
Sasa tazama leo hii Marekani inongozana na nchi ya Israel kwenda nchi ya Ukraine yenye Silaha ya S300 kwenda kujifunza kuikwepa.Kwa nchi kama Marekani kwangu mimi naona ni udhaifu mkubwa kwenda kujifunza kuikwepa silaha iliyotengenezwa na hasimu wake mkubwa kijeshi iliyoko nchi nyingine nchi ya Ukraine.
naambatanisha habari hiyo kwa lugha ya kiingeeza
US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems
World » Former USSR » Ukraine
Ukraine has S-300 anti-aircraft missile systems. A delegation of US and Israeli officials has recently visited Ukraine to study S-300 complexes, Soha News, a Vietnamese publication reports.

The delegation of US and Israeli officials paid a visit to Ukraine after Russia delivered S-300 missile systems to Syria following the tragic shoot down of the Ilyushin Il-20 spy plane. Kiev convinced representatives of the delegation that Ukrainian S-300 systems were no different from Russian ones, the publication said.
According to Soha News, the trip to Ukraine was successful, because US and Israeli officials found out that F-35 Lightning II fighters, if necessary, will be able to cope with Russian or Syrian S-300 systems deployed on the territory of Syria.
A critical time for the girls of our world
See more at US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems - Russian weapons
 
Ha ha ha ha ha ha ha
Shida watu wanakariri tu kama usa ndio mbabe kumbe ni kama kiranja tu anaye pigwa na mwanafunzi wa kawaida
 
USA ndo nchi inayoteseka sana duniani!! Kila muda ina wasiwasi hasa kwa Russia!! USA hajuliamini kabisa na ndo maana utasikia anaichunguza German Uk China hat nvhi za Afica anazichunguza!!
Ulishawahi sikia Russia anachunguza nchi za Africa au South America?? Kaa sababu anajiamini
 
Trending
EurasiaAnglo 5
U.S & Israel use Ukraine to Get S-300 Secrets
On Oct 11, 2018
2 3,789
Share
A joint US-Israeli delegation visited Ukraine to seek information on several important weapons, including the Russian S-300 complexes recently established in Syria, since after the fall of the USSR, Kiev inherited about 250 units of the S-300.

In response to the supply of the S-300 air defense systems to Syria, the United States sent 18 fourth-generation F-15C Eagle fighters to participate in military drills in Ukraine, while Israel dispatched several F-16 fighter pilots to try to “test” the S-300, reported Khang Minh, the author of the article published in Soha News .
According to the media, the analysis of the S-300’s capabilities in collaboration with the Ukrainian side has convinced the Israeli military command of the invulnerability and supposed advantage of fifth-generation F-35 fighters if they encounter the S-300 positioned missiles in Syria.

45,760

- Advertisement -
The US F-15C Eagle fighters first arrived in the territory of Ukraine on October 6. According to official statements from Kiev and Washington, these airplanes are allegedly involved in the Clear Sky 2018 international exercises. The event is attended by military personnel from nine countries, eight of which, except Ukraine, are members of NATO.
In early October, Moscow completed the delivery of 49 components of the S-300 anti-aircraft defense systems to Syria. This measure was taken after the accidental downing of the Russian aircraft by the Syrian anti-aircraft defense, according to the official story. The aircraft was allegedly used as a shield by the Israeli Air Force and resulted in the death of the 15 military personnel on board.

Kumbe sio S300 tu bali na silaha nyingine muhimu alizorithi Ukraine kutoka USSR, kwa kifupi hawa jamaa wamekwenda kuomba msaada kwa Ukraine.da ! iko kazi.
nantafuta ze - kukoyo aje atatue chngamoto hii.
 
Attachments

  • 1539595624129.png
    1539595624129.png
    6.4 KB · Views: 48
USA ndo nchi inayoteseka sana duniani!! Kila muda ina wasiwasi hasa kwa Russia!! USA hajuliamini kabisa na ndo maana utasikia anaichunguza German Uk China hat nvhi za Afica anazichunguza!!
Ulishawahi sikia Russia anachunguza nchi za Africa au South America?? Kaa sababu anajiamini
kweli kabisa mkuu,US utasikia anasema Korea Kas ana silaha za nyukilia,mara Sadam ana silaha za maangamizi,mara Iran anataka kutengeneza nyukilia,lakini UK,FR,ISR,IND,PAKISTAN na yeye wanazo,cha ajabu Urusi,Uchina wala hawalalamiki ni yeye tu kulialia,sijui anachogopa ni nini.
 
Niliwahi kuandika makala hapa jamvini kuwa Marekani ndio nchi inayopata misaada ya kijeshi na kiulinzi hapa duniani kuliko nchi yeyote,nikadharaulika.Kama kweli marekani ni Supa power kweli inakuaje inategemea nchi nyingine kuikabili Urusi,ama silaha za Urusi?hiliorodhesha nchi nyingi zinazoshirikiana na Marekani ama kuikabili Urusi ama kuzikabili silaha za Urusi.Urusi iko peke yake.
Sasa tazama leo hii Marekani inongozana na nchi ya Israel kwenda nchi ya Ukraine yenye Silaha ya S300 kwenda kujifunza kuikwepa.Kwa nchi kama Marekani kwangu mimi naona ni udhaifu mkubwa kwenda kujifunza kuikwepa silaha iliyotengenezwa na hasimu wake mkubwa kijeshi iliyoko nchi nyingine nchi ya Ukraine.
naambatanisha habari hiyo kwa lugha ya kiingeeza
US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems
World » Former USSR » Ukraine
Ukraine has S-300 anti-aircraft missile systems. A delegation of US and Israeli officials has recently visited Ukraine to study S-300 complexes, Soha News, a Vietnamese publication reports.

The delegation of US and Israeli officials paid a visit to Ukraine after Russia delivered S-300 missile systems to Syria following the tragic shoot down of the Ilyushin Il-20 spy plane. Kiev convinced representatives of the delegation that Ukrainian S-300 systems were no different from Russian ones, the publication said.
According to Soha News, the trip to Ukraine was successful, because US and Israeli officials found out that F-35 Lightning II fighters, if necessary, will be able to cope with Russian or Syrian S-300 systems deployed on the territory of Syria.
A critical time for the girls of our world
See more at US and Israeli officials travel to Ukraine to study S-300 air defence systems - Russian weapons
Urusi ni hatari, amewapa US majukumu ya ziada
 
Ni ujinga wa Hali ya juu, tayari inaonesha USA na Israel wamezidiwa pakubwa teknology na mrusi.[/QUO
wakati huo huo tulishaambiwa kuwa Israel alikwenda kuomba msaada kama huohuo kwa Greece,kwani inadhaniwa kuwa Ugiriki pia ana S300,na akipata siri Israel atampa Marekani,Ushirika woooote huu, ni kupambana na silaha iliyotengenezwa na nchi moja tu,Russia,halafu watu wanakuja kutuambia hapa kuwa Russia ni dhaifu..
 
Tatizo Russian hawana media propaganda
USA ndo nchi inayoteseka sana duniani!! Kila muda ina wasiwasi hasa kwa Russia!! USA hajuliamini kabisa na ndo maana utasikia anaichunguza German Uk China hat nvhi za Afica anazichunguza!!
Ulishawahi sikia Russia anachunguza nchi za Africa au South America?? Kaa sababu anajiamini
 
hii mkuu mr Putin alimwambia kijana wake Khabib baada ya kuruka nje ya uwanja nakushusha kipigo kwa team ya mjukuu wa malkia
" If we(Russians) are attacked from the outside , not only you, we could all jump in such away.....there could be HELL to pay ....but its better not to reach that stage"
Da aisee,sina ufahamu wowote juu ya tukio hili kwa ujumla,Aise jamaa ni mbabe kinoma,unajua kuna watu hapa duniani huwa wanaletwa na Mungu kuja kupambana na mifumo fulani na wakaishinda.Vladimir ni noma.
 
Back
Top Bottom