Picha: Ningeshangaa sana mmatumbi kukosekana kati ya wale hit squad waliotumwa na MBS kumuua Khashoggi

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,616
Mzuqa!

Turkish intelligence wametoa picha za wauaji waliotumwa ubalozi wa mdogo wa Saudia Instanbul kwa nia moja tu kumuua kwa Kikatili Khashoggi.

Nigeshangaa kati ya hao 15 angekosa muafrika/mswahili ama mmatumbi.

Labda nadhani ndio yule aliyekuwa anaambiwa avae headfone akisikiza mziki huku akimkatakata Khashoggi. Hii ilisikikika kwenye audio wanausalama wa uturuki waliounasa. Na waeahidi watairoa kwa umma hivi karibuni dumia isikie Khashoggi alivyokua akilia kwa uchungu.
5116022-6285357-image-a-15_1539766678419.jpg
 
Usishangae kukuta ni mlowezi kutoka Bongo huyo kalowea Saudia. Huwa wanakuwa makatili kuwazidi hao mabwana zao huku wakijidai wafia dini kindakindaki.

Ukatili wa ajabu sana ule waliomfanyia Khashogi kisha wakasafirisha "nyama" zake kwenye mabegi kwa hati za kidiplomasia. Mungu awalaani na vizazi vyao.
 
Nita watetea ndugu zangu Watanzania kwa kweli ni uwongo hatuna huo ukatili kabisa walahi
Ipende nchi yako kijana mdogo, jifunze kuinenea mambo mema ili upate baraka zake walahi
Na iwe kama ulivyo nena kwa watesi wa Khashogi walahi
 
Kwa nini wametanguliza picha hii...ama mleta mada ndiye kachagua hii picha kati ya nyingi zilizotolewa!?
 
Mzuqa!

Turkish intelligence wametoa picha za wauaji waliotumwa ubalozi wa mdogo wa Saudia Instanbul kwa nia moja tu kumuua kwa Kikatili Khashoggi.

Nigeshangaa kati ya hao 15 angekosa muafrika/mswahili ama mmatumbi.

Labda nadhani ndio yule aliyekuwa anaambiwa avae headfone akisikiza mziki huku akimkatakata Khashoggi. Hii ilisikikika kwenye audio wanausalama wa uturuki waliounasa. Na waeahidi watairoa kwa umma hivi karibuni dumia isikie Khashoggi alivyokua akilia kwa uchungu.
View attachment 901538
"Jon Stephano, kuna hoja zimeletwa-
Uturuki waliipata wapi na kwa vipi hiyo audio?
Mwandishi aliyepotea ni rafiki wa rais wa Uturuki je hakuna namna hapa?
 
Back
Top Bottom