Jamal Khashogi alikuwa na ujasiri yuko salama Uturuki

Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
1,391
Likes
3,081
Points
280
Jon Stephano

Jon Stephano

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
1,391 3,081 280
Mzuqa wanajamvi,

Kati ya habari iliyohit na kutrend kwenye vyombo vya habari duniani ni kupotea kwa aliyekuwa muandishi mahiri wa gazeti la Al Watan Saudia na washington Post Jamal Khashoggi.

Japo alijua hayupo salama alidhani ubalozi wa Saudi Arabia instanbul Uturuk asingeweza kudhuriwa kwasababu ipo kwenye ardhi ya turkey pia kwa sababu ingetokea madhara yeyote kwake jumuia ya kimataifa ingeingilia kati.

Ila Mohamen Bin Salman Katili sana. Kwenye umri mdogo alionao mambo ya ajabu ya ukatili anayofanya lazima apigwe stopu. Jamaa ana vishen nzuri ila the way he crack down his opponents os so much Brutal. Ila limeshatuma ujumbe kwa opponents wake hawapo Salama popote duniani.

Cc dudus Elungata hearly Washawasha Frank Wanjiru jingalao ISIS
 
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
1,379
Likes
2,214
Points
280
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
1,379 2,214 280
sasa mkuu kipi ni kipi? Kule kauwawa,huku yupo sarama,kule hawajui alipo,huku sisi hatuusiki.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,502
Likes
9,806
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,502 9,806 280
Pamoja na yote,naona kama Intelligence ya Saud Arabia haina weledi kabisa katika mambo mazima ya assassination,ni uboya na ujinga wa hali ya juu uliofanyika. Ni Bora hiyo kazi wangewapa Mossad wammalize huko huko mtaani.
NB:Siungi Mkono vitendo vya kuwamaliza wapinzani wako Kisiasa.
 
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
2,665
Likes
2,498
Points
280
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
2,665 2,498 280
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,502
Likes
9,806
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,502 9,806 280
Mkuu huyo jamaa alishatwaliwa na walichokosea hao jamaa hawakujua kama alikuja na msindikizaji aliebakia kwa nje akaharibu picha yote
Hata asingeenda bila mtu,maeneo yote ya Balozi zinakuwa na CCTV Camera so ingefahamika tuu.
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
89,053
Likes
772,557
Points
280
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
89,053 772,557 280
Pamoja na yote,naona kama Intelligence ya Saud Arabia haina weledi kabisa katika mambo mazima ya assassination,ni uboya na ujinga wa hali ya juu uliofanyika. Ni Bora hiyo kazi wangewapa Mossad wammalize huko huko mtaani.
NB:Siungi Mkono vitendo vya kuwamaliza wapinzani wako Kisiasa.
Acha utoto wewe, saudia na usa ni pete na kidole, jiongeze kidogo usikilize speeches za Ghadafi!
Duh mna chosha walahi
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
1,813
Likes
1,395
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
1,813 1,395 280
Hamna mtu ambae ana akili zake akawa amedeclare kuwa yeye ni open enemy wa Dola yeyote hapa duniani.

Saudi Arabia is the heart of Islam, wenye kubweka wataishia kubweka lakini mziki wa Saudia wanaujua.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,162
Likes
879
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,162 879 280
Pamoja na yote,naona kama Intelligence ya Saud Arabia haina weledi kabisa katika mambo mazima ya assassination,ni uboya na ujinga wa hali ya juu uliofanyika. Ni Bora hiyo kazi wangewapa Mossad wammalize huko huko mtaani.
NB:Siungi Mkono vitendo vya kuwamaliza wapinzani wako Kisiasa.
Kwan hao Mossad hawajawahi kukosea kwenye mission zao? All in all walichofanya ni cha kukemewa.
 
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,784
Likes
1,352
Points
280
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,784 1,352 280
Wewe lipumbavu huna unachojua ,nenda Lumumba kanye huko.
Mkuu ukiambiwa uwe unasikiliza usilete ujuaji jaaribu kusoma kitabu cha economical hitman utajua watu wanaongelea nini
 
wiseboy.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Messages
3,631
Likes
3,303
Points
280
wiseboy.

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2014
3,631 3,303 280
Mkuu ukiambiwa uwe unasikiliza usilete ujuaji jaaribu kusoma kitabu cha economical hitman utajua watu wanaongelea nini
US ni wajanja mno mkuu,Saudia hawawezi kuiyumbisha US hata siku,US wana akiba ya crude oil ya kutumia zaidi ya miaka 50 halafu wanajifanya kuwa wanahitaji sana mafuta ya saudia wakati US ina mirija ya kupata mafuta nchi nyingi tu.
 
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,192
Likes
910
Points
280
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,192 910 280
Hamna mtu ambae ana akili zake akawa amedeclare kuwa yeye ni open enemy wa Dola yeyote hapa duniani.

Saudi Arabia is the heart of Islam, wenye kubweka wataishia kubweka lakini mziki wa Saudia wanaujua.
SI KWA SASA.
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
1,813
Likes
1,395
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
1,813 1,395 280
KUPIGA HAWAWEZI KWA SABABU MSHIRIKA WAKE MKUU NI USA AMBAYE ANATUMIA JUHUDI ZOTE KUUA HUO UISLAM
Saudia is the heart of Islam. Waislamu wanaposwali huwa wanaelekeza nyuso zao Saudia, Ibaada ya nguzo ya tano ambayo ni hijja which it is a must without any replacement huwa inafanyika Saudia, kuna ibada ya Umra lazima ifanyike Saudia na si sehemu nyingine yeyote duniani hata iwe kwa mazingira yeyote, Saudia ndio kuna misikiti mitukufu miwili kuliko yote Duniani, Saudia ndiyo kuna miji miwili mitakatifu Zaidi duniani na mambo mengine meengi
 
Forum statistics

Threads 1,235,137
Members 474,353
Posts 29,212,919