Marekani na uturuki karibu zinalingana kwenye kutoa misaada

ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
5,066
Likes
7,769
Points
280
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
5,066 7,769 280
Uturuki inatumia karibu kiasi sawa na inachotumia Marekani katika misaada ya nje

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Çavusoğlu, akiongea katika ufunguzi wa mwaka wa masomo wa chuo kikuu cha New York Tirana, mnamo siku ya alhamisi mji mkuu wa Albania, Tirana, alisema kwamba katika misaada ya kibinadamu Uturuki inatoa karibu kiasi sawa na kiasi inachotoa nchi ya Marekani ambayo ndio nchi yenye mapato makubwa zaidi duniani.

Alitolea mfano mnamo mwaka 2017 Uturuki ilitoa kiasi cha dola za kimarekani bilioni 8 kusaidia wakati Marekani yenyewe ilitoa kati ya dola bilion 6 na 7.Alisema Uturuki ni nchi ambayo ipo katika daraja la juu kabisa katika masuala ya misaada ya kibinadamu.

Aliendelea kutoa mifano akisema mwaka 2016 Marekani ilitumia kiasi cha dola bilioni 6.3 katika misaada wakati Uturuki ikitumia dola bilioni 6 na kuifanya Uturuki ishike nafasi ya pili katika kutoa misaada baada ya Marekani.
 
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
2,583
Likes
2,670
Points
280
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
2,583 2,670 280
Uturuki inatumia karibu kiasi sawa na inachotumia Marekani katika misaada ya nje

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Çavusoğlu, akiongea katika ufunguzi wa mwaka wa masomo wa chuo kikuu cha New York Tirana, mnamo siku ya alhamisi mji mkuu wa Albania, Tirana, alisema kwamba katika misaada ya kibinadamu Uturuki inatoa karibu kiasi sawa na kiasi inachotoa nchi ya Marekani ambayo ndio nchi yenye mapato makubwa zaidi duniani.

Alitolea mfano mnamo mwaka 2017 Uturuki ilitoa kiasi cha dola za kimarekani bilioni 8 kusaidia wakati Marekani yenyewe ilitoa kati ya dola bilion 6 na 7.Alisema Uturuki ni nchi ambayo ipo katika daraja la juu kabisa katika masuala ya misaada ya kibinadamu.

Aliendelea kutoa mifano akisema mwaka 2016 Marekani ilitumia kiasi cha dola bilioni 6.3 katika misaada wakati Uturuki ikitumia dola bilioni 6 na kuifanya Uturuki ishike nafasi ya pili katika kutoa misaada baada ya Marekani.
Kuwa Bin adamu si lazima uwe tajiri Sana kwa kila raia wako, halafu nchi isiyo na masikini kabisa duniani Ni Brunei tu, hata Washington kuna watu weeengi maskini wakutupwa na wanalala mitaani...
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,502
Likes
9,806
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,502 9,806 280
Labda Marekani hii ya Magore ndio ipo sawa na Uturuki kutoa misaada
 
Forum statistics

Threads 1,235,128
Members 474,351
Posts 29,212,742