International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 12 nchini Yemen wanakabiliwa na kitisho cha uhaba mkubwa wa chakula iwapo hali ya usalama na kiuchumi katika taifa hilo linalokumbwa na vita haitaboreka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Marekani imesimamisha matumizi ya ndege vita zake kuruka dunia nzima aina ya F-35 kutoka na na ndege mojawapo iliyoanguka kugundulika kuwa ndege hizo zina matatizo ya kiufundi. Israel nayo...
5 Reactions
68 Replies
9K Views
Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan wanatarajia kupata mtoto mwezi wa April mwakani, imetangazwa leo na Kasri ya Kensington. Taarifa hiyo imeeleza furaha waliyo nayo Meghan na Harry pamoja na...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya wiki mbili za utata wa kifo cha mwandishi wa habari huko Uturuki kwenye ubalozi wa Saudi Arabia. Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohamed Bin Salman ametoa offer ya kuinunua klabu ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Arms race hots up in East Africa Photo/FILE A Kenya Army helicopter patrolling the airspace in Kwale District on May 3, 2011. By BENJAMIN MUINDI...
0 Reactions
32 Replies
17K Views
Baraza jipya la Mawaziri laweka rekodi mpya kwa kuwa na asilimia 50 ya Wanawake. Hii inajumuisha kuteuliwa kwa mara ya kwanza kwa Waziri wa Ulinzi Mwanamke. Hii ni baada ya Bunge kumuidhinisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
President says government needs foreign funds but doesn’t know the location of missing debt money By Matt Wirz Oct. 16, 2018 7:00 a.m. ET Banks that arranged billions of dollars of loans to...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Vazi la Niqab kupigwa marufuku Ujerumani Bunge nchini Ujerumani limepiga kura ya kuunga mkono wafanyikazi wa serikali kutovaa vazi la kiislamu linaloficha uso la Niqab wakati wanapokuwa kazini...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakazi wa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro wamesema kumekuwa na milio ya risasi katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Mutsamudu, baada ya vikosi vya ulinzi kuvunja vizuizi vya barabarani, ambapo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huko Kenya, waandishi wa habari wamefunua vitendo vya kibaguzi na udharilishaji unaofanywa na wafanyakazi wa Kichina wanaosimamia reli ya Nairobi-Mombasa. Taarifa iliyotolewa imetaja mambo...
5 Reactions
83 Replies
6K Views
Huyu ni mtoto wa kambo wa Chief of Defence wa Sudani ya Kusini. Pamoja na kula bata hivi, lakini inadaiwa jamaa anasaidia sana jamii. Young Tycoon has spent more than 15 million dollars in one...
5 Reactions
127 Replies
24K Views
Serikali ya Australia inafikiria kuhamishia Ofisi za Ubalozi wake kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem Hii ni kw amujibu wa Waziri Mkuu wa taifa hilo la Mashariki ya mbali, Scott Morrison. Akiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Program za computer ya Microsoft amefariki kwa kansa. Mwezi uliopita aliitembelea Tanzania. R.I.P Paul
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bloomberg News SOUTH AFRICAN AIRWAYS imeiomba mmiliki wake, serikali ya Afrika Kusini, iwasaidie fedha taslimu za kuiokoa ( cash bailout ) kuiepusha kufunga biashara. SA Airways imeelemewa na...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Tukiachilia mbali historia ya mataifa ya afrika kiuchumi na kisiasa, Leo nakuja jukwaani na kisanga kipya ambacho kinataka kufahamu zaidi juu ya MCHANGO WA WB AFRICA, Naomba niishie kuhoji hivyo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Baba wa Mwanasoka wa Kimataifa, Vincent Kompany, Pierre Kompany achaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Mji wa Ganshoren uliopo ndani ya Mji Mkuu Brussels. Pierre Kompany anakuwa Mtu mweusi wa kwanza...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Jumanne ya wiki iliyopita Mwandishi wa habari maarufu, Jamal Khashoggi alionekana akiingia ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia uliopo Instanbul nchini Uturuki Baada ya hapo mwanahabari huyo...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Kimbunga kilichopewa jina la Michael kinatarajiwa kulimbuka jimbo la Florida nchini Marekani jioni ya leo huku mamlaka zinazohusika na masuala ya hali ya hewa zikionya kuwa kimbunga hicho...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa imefahamika rasmi Jamal Khasoghi mwandishi wa habari maarufu aliyepotelea kwenye ubalozi wa Saudi Arabia huko Uturuki aliuwawa baada ya kuteswa na wauuaji kutoka Saudi Arabia. Mauuaji hayo...
11 Reactions
116 Replies
16K Views
Back
Top Bottom