mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Bangi
Bange
Msuba
Ganja
Njaga
Innocent plant
Mmea
Mjani
Etc kila mmoja anajina lake
Imetangazwa kuwa kiburudisho halali nchini Canada. Imekuwa nchi ya pili duniani kuhalalisha.
Ila
Ni kosa kutembea mtaani ukiwa na zaidi ya gram 50 ya bangI, pia ni kosa kupanda zaidi ya miche minne nyumbanI.
Kwa mara ya kwanza nchini humo kumeonekana foleni kubwa madukani watu wakienda kupata huduma ya bangI na
Misokoto yake. Mamia ya maduka ya bangI yamefunguliwa.
Wakati huohuo rais wa Mexico anashauri NAFTA wahalalishe bangi ili wajipatie kodi kuliko sasa biashara hiyo kufanyika kwa siri.
Nchi mbalimbali wanatoleo udenda soko hilo la bangi Canada, wengine wanashauri nchi zao angalau zihalalishe kilimo hicho kwa lengo la exportation sio kuvuta.
My take ;
HII kitu itakapokuwa halali duniani tutegemee mambo mengi ya ajabu ajabu kuliko sasa.
Source
Foxnews , Vox