Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ? Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake...
4 Reactions
25 Replies
369 Views
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba...
7 Reactions
17 Replies
304 Views
👉 Zama za ushawishi wa hila, propaganda za mifukoni na harakati uchwara kwenye mitandao ya kijamii zimefikia kikomo chake rasmi. 👉Wazi kuwa wanaharakati uchwara waliokuwa wanatumia mitandao...
1 Reactions
2 Replies
42 Views
Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
10 Reactions
90 Replies
749 Views
Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka...
9 Reactions
161 Replies
2K Views
Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja. Dereva anapowasha...
5 Reactions
25 Replies
250 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya...
9 Reactions
52 Replies
699 Views
Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Habari wana jf, Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu Kwasababu hizi chache 1. Ndio...
16 Reactions
45 Replies
463 Views
Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
90% ya wanaume hao wanatia shaka mahusiano yao ya mapenz au wanaenda kujiweka kalibu na wanajisaji
4 Reactions
9 Replies
91 Views
habari za weekend wanna jf wote. wiki hii mwishoni nimetembelea maduka ya pembejeo za kilimo karibu yote yanayopatikana sumbawanga mjini. Lengo langu ilikuwa ni kujua bei halisi ya mbolea hasa...
2 Reactions
5 Replies
161 Views
Ukishakuwa na watoto wanaofikiri kukuheshimu ni kukuogopa, watoto wasioweza kuonesha hofu zao mbele yako, wasioweza kukasirika mbele yako, wasioweza kukueleza hisia zao, wasioweza kusema mawazo...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Hellow wana JF. Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo...
7 Reactions
46 Replies
296 Views
UFUNUO. Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini. Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na...
6 Reactions
18 Replies
399 Views
Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu...
1 Reactions
3 Replies
46 Views
Ujenzi wa majengo 8 ya ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba umekamilika kwa gharama ya Sh bilioni 186, kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Majengo hayo yanahudumia wizara...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Wakuu... Mimi nilikuwaga ni shabiki wa mpira ila tangu nimeachana na mamipira nimegundua nilikuwa na lost mda wa maana, na mambo ambayo hayana msaada!
8 Reactions
30 Replies
261 Views
Ukianza dakar mpaka lusaka nikimaanisha ukiangalia miji aina ya maisha utaona yanafanana mfano kinshasa, lagos, kampala, dar es salaam, nairobi, n.k hii miji inafanana iko dominated na squatter na...
4 Reactions
5 Replies
72 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula...
0 Reactions
6 Replies
96 Views
Back
Top Bottom