Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna somo kubwa sana ambalo kila mfanyabiashara anapaswa kujifunza. Kuna mtu aliwahi kuwa na biashara iliyokuwa inafanya vizuri sana. Wateja walikuwa wanaingia dukani kila siku, bidhaa...
10 Reactions
19 Replies
206 Views
Kufuatia sakata la Kweka Na Urassa, wadau wengi wanasema wanataka kuoa wake wa kimachame waone kama ni kweli lisemwalo kuwahusu ni kweli! Nimewashuri waoane tu, mdau wewe unasemaje?
2 Reactions
12 Replies
120 Views
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya...
13 Reactions
150 Replies
2K Views
Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa. Serikali...
3 Reactions
6 Replies
125 Views
Hii Mvua hii inayoporomoka huku watu wanakimbizana kuna watu mkeka wao unaenda ku-tick. Maana walisema kutakua na mvua na walikua wanasubiria inyeshe japo kidogo waseme si tuliwaambia sisi...
1 Reactions
9 Replies
133 Views
Hali ya kukosekana na kutokuwepo maji safi na salama,Wilaya ya chunya. Hili ni tatizo kubwa la afya ya umma na usalama wa mazingira katika Kijiji cha Matondo na Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
Dar es Salaam na miji mingi sasa hivi bidhaa za mbogamboga na viungo kama karoti, nyanya, vitunguu, hoho, biringanya, bamia, viazi, ndizi na matunda bei ni ziko juu sana. Bei za nafaka kama unga...
8 Reactions
17 Replies
261 Views
Hayo ndiyo maneno yaliyoandikwa ukutani na Walter Kipkoech, mwenye umri wa miaka 23, ambaye ni mshukiwa wa mauaji. Aliandika ujumbe huo kwa kutumia damu ya mpenzi wake wa miaka 18, Joy Wangui...
5 Reactions
23 Replies
216 Views
CHEMBA Wananchi 268 wamehudumiwa katika Kliniki ya Ardhi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ndani ya siku tano tangu kuanza kwa huduma hizo Oktoba 5, 2026, huku hati miliki za ardhi 181 zikiwa...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu...
8 Reactions
31 Replies
357 Views
Naomba TCRA wafuatilie % za kamisheni ya miamala kwa mawakala wa kutoa/kutuma fedha kwa mtandao wa AIRTEL ni ndogo sana ukilinganish na mitandao mingine Picha 3 za mwanzo ni airtel money...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Salaam wakuu, Hili jambo nilikuwa silifahamu ila baada ya girlfriend wangu ku-share na mimi nikaanza kulifuatilia. Kwa tafakuri yangu nimeona ni mwanzo mzuri na mwamko wa watanzania kuungana...
0 Reactions
2 Replies
61 Views
Mkuu wa idara ya mauzo kwa biashara ndogo na za kati Jasmine Makori (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Pius Maswaga wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zawadi...
1 Reactions
0 Replies
27 Views
Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali. Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea...
1 Reactions
6 Replies
100 Views
Mwanamke aliyefahamika kwa Jina la Maselina Mtewele (50), ambaye ni Mkazi wa Mijiji cha Lwangu Halmashauri ya Mji wa Njombe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua Mume wake Gwido...
8 Reactions
30 Replies
609 Views
Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini? Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini Zipi sababu...
12 Reactions
165 Replies
3K Views
Kurudia tena na tena hujenga mazoea, na wakati mwingine uraibu. Vivyo hivyo, kuacha addiction au tabia fulani kunahitaji kurudia kujaribu, hata pale unaposhindwa unakuwa umekusanya points za self...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari...
1 Reactions
72 Replies
10K Views
Back
Top Bottom