plock
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 508
- 586
Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano ndani ya mita 200, na kutoa kengele: “HATARI! GARI LINAKUJA, USIOVERTAKE!”
Lengo ni kusaidia kuzuia ajali za kugongana uso kwa uso kabla hazijatokea.
Nimetoa wazo kutokana na miundo mbinu yetu ya barabara kusema kuboresha inaweza kuwa gharama sana nchi zima ila kama vifaa hivi vipo basi jambo jema vikafungwa kwenye magari yote kama havipo aliye na uwezo au mamlaka zinazohusika zipokee ushauri huu na kuboresha kwa ajili ya usalama wetu