Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam-Tanzania, 17 Septemba 2026: Je, umekwama katika ufanyaji wa kazi ambayo unajua kabisa hiyo siyo kwa ajili yako, na umewahi kujiuliza kama kitu ambacho una uwezo...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema...
6 Reactions
47 Replies
366 Views
Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada. Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye...
11 Reactions
43 Replies
585 Views
Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa...
26 Reactions
60 Replies
7K Views
Ambao mko( mnafanya kazi) taasisi binafsi au mnamiliki taasisi binafsi kama shule,nk nafikiri Muna majibu na kama nachoandika ni kweli mtaniambia. It's normal kukuta mfanyakazi anakatwa makato...
6 Reactions
23 Replies
234 Views
Pale Crdb Kuna ujinga mwingi sana hasa wazee walioajiriwa kipindi Cha kimei huenda wengi waliingizwa kazini kwa vimemo Juzi nimeenda na noti za sh laki moja ambazo ni chakavu elfu kumi 9 na elfu...
3 Reactions
6 Replies
148 Views
Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi. Kwenye...
2 Reactions
4 Replies
123 Views
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili...
5 Reactions
86 Replies
1K Views
Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
6 Reactions
23 Replies
150 Views
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
2 Reactions
5 Replies
143 Views
Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga...
9 Reactions
18 Replies
203 Views
Mlinzi wa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Magorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho. Kwa mujibu...
5 Reactions
24 Replies
429 Views
Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana. Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi...
16 Reactions
69 Replies
802 Views
Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous
Wakazi wa Kigoma wanalalamikia kuchelewa kupatiwa huduma ya TTCL Fiber licha ya kulipia gharama za kuunganishiwa huduma hiyo zaidi ya miezi miwili iliyopita. Inadaiwa kuwa kila wanapowasiliana na...
0 Reactions
6 Replies
116 Views
Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya...
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
3 Reactions
11 Replies
158 Views
Ukizosoma amri kumi za biblia amri nne zinamuhusu mungu, amri sita zilizobaki ndio zinaratibu mahusiano na maisha ya binadamu kati yao. Fikiria kama amri nne za mungu zinazomuhusu yeye...
3 Reactions
14 Replies
150 Views
Anonymous
WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Karibu binti na mwana wa Mama Afrika. Moja ya Vitu ambavyo vinatafutwa na watu wa dini tatu maarufu ya Ukristo, uislamu na uyahudi, ni vibao viwili vya amri kumi za Mungu. Kwa sababu Maandiko...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Back
Top Bottom