Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,818
- 9,817
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa utatumia fedha toka hazina ni matumizi ya hovyo kupita kiasi.
Huyu mtu akiachwa ataivuruga hii nchi to the maximum.