Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anabebeka.
19 Reactions
122 Replies
2K Views
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria...
2 Reactions
22 Replies
220 Views
Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa...
9 Reactions
25 Replies
537 Views
Hellow Greate Thinker!!! Nipo JF naona ki sms kimeingia kwa kinamba kigeni, kinasema Namba ya yule shemeji kimeipata, ni mtaalam atanisaidia nifanyeje wakuu!
1 Reactions
6 Replies
79 Views
Kabila la Dani la Papua New Guinea lina desturi za kutisha za ndoa. Ili kuoa, mwanamume lazima akate kidole kutoka kwa mkono wake wa kulia kama mahari kwa bibi arusi wake. Katika kesi ya talaka...
1 Reactions
16 Replies
190 Views
Nimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa...
9 Reactions
38 Replies
525 Views
Habari wakuu natumaini mko salama. Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007 Pala Arusha njiro Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na...
5 Reactions
7 Replies
210 Views
Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu...
10 Reactions
136 Replies
820 Views
Hellow guys! Happy sun day!!! Kuna thread nilileta ilikuwa inahusu "Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?"......wengi wakasema baada ya mbegu ya mwanaume na mwanamke kuungana.... Sasa katika...
3 Reactions
20 Replies
114 Views
Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa...
4 Reactions
8 Replies
119 Views
Anonymous
Katika Stendi ya Mabasi Mbezi Magufuli, kumekuwa na changamoto kwa sisi madereva wa bajaji za taksi mtandao tunaowashusha abiria eneo hilo. Tukishusha abiria nje ya stendi tunakamatwa, lakini...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto...
3 Reactions
9 Replies
185 Views
Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia. Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini...
2 Reactions
34 Replies
304 Views
Sina takwimu ya kuona bidhaa inayozalishwa na kiwanda cha mtanzania mwenzetu,mbantu mwenzetu mweusi mzawa (KWENYE MALIGAFI NAJUA WAPO WENGI WANAUZA HADI NJE)
5 Reactions
33 Replies
493 Views
Wako watu wanaota walishwa chakula cha aina yeyote ile na watu wanaowajua hii inamaana gani??? Ukiota unalishwa chakula na mtu unayemjua tafsiri yake ni huyo mtu anakuloga kwa lengo la kutaka...
1 Reactions
11 Replies
110 Views
Wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema...
8 Reactions
19 Replies
254 Views
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu...
17 Reactions
340 Replies
3K Views
Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana...
8 Reactions
85 Replies
1K Views
Mpango haulengi kuondoa umiliki wa ardhi Na Lusajo Mwakabuku – DSM DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
98 Views
  • Redirect
Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro(NCAA) yasema simba kumi wameuawa tarehe 18, mwezi huu wa Septemba, katika eneo la Ndutu, kata ya Endulen. Uchnguzi wa awali umebaini kuwa simba hao...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom