Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi, akidaiwa kuingia katika Benki iliyopo Rock...
11 Reactions
101 Replies
1K Views
Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa...
1 Reactions
12 Replies
438 Views
Anonymous
Nimekuwa nikikwazwa sana na huduma katika Tawi la CRDB TFA Arusha, hasa linapokuja suala la muda wa kuhudumiwa. Kuna wakati unaenda benki kwa ajili ya kufanya huduma rahisi tu kama kuweka fedha...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Mweye muda someni hiyo thesis mpate mwanga wa sheria ya kutunza siri za wateja bank rom commonwealth jurisdiction of which we borrow our laws/precedents. Najua ukitaka kuwaficha watanzani kitu...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Kituo cha Sheria na haki za Binadamu kimeungana na wadau wengine kuadhimisha siku ya Demokrasia Duniani ambayo inaadhimishwa leo September 15, 2026. Katika Maadhimisho hayo unafanyika mjadala...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Salamu wakuu aisee before sijachukua steps nilisoma humu JF watu wengi wanasema utajiri wa ndagu haupo n story tu nikakaza fuvu nikasema wacha nijaribu nimekuta story zile zile zile tu aisee...
10 Reactions
49 Replies
846 Views
Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
2 Reactions
13 Replies
108 Views
Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili...
0 Reactions
4 Replies
95 Views
It's me JamiiForums member: Nina Akili Ndogo Sana. Kama kadi ya gari inapigwa photocopy pamoja na kuwekwa muhuri (stamp duty) ya TRA, kwanini kitambulisho cha NIDA kisipigwe photocopy na kuwekwa...
1 Reactions
21 Replies
319 Views
Anonymous
Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu...
2 Reactions
4 Replies
90 Views
Kazi kushobokea nyuzi na comments za watu. Nimeamua kumpa ban ya maisha
4 Reactions
26 Replies
238 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekataza tabia ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuombwa fedha za mafuta ili kuwawahisha hospitalini kwa kutumia...
1 Reactions
8 Replies
80 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka...
5 Reactions
13 Replies
206 Views
Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Serikali imewataka Watanzania kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni, ikiwemo majokofu na viyoyozi vilivyotumika, ili kulinda...
2 Reactions
1 Replies
63 Views
Katika jamii watu huishi kwa mazoea.. Yaani watu wa kisha aminishwa kitu cha uongo watakishikilia maana ni comfortable kwao. Nimeligundua hili na halinipi shida tena. Naona kwenye uzi wangu wa...
4 Reactions
26 Replies
174 Views
Back
Top Bottom