Watu wengi wanakula ila hawalimi.

Watu wengi wanakula ila hawalimi.

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,437
Reaction score
3,915
Hellow wana JF.

Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo mzuri hawataki kabisa kujihusisha na kilimo.

Ukizunguka kwenye mashule na mavyuo mbalimbali ulimwenguni katika wakufunzi milioni moja ni wakufunzi wachache sana watakao kuwa wanawaza kufanya kilimo(katika hiyo milioni moja wanaweza kujitokeza wakufunzi 10 au 20 watakao kuwa wana penda/mpango wa kufanya kilimo 10 au 20 tu) walio bakia wote watakuwa wanawaza kukaa maofisini kuchezea kompyuta na ajira nyingine ila sio kufanya kilimo.

Kila siku asubuhi watu wanahitaji heavy breakfast, kila mchana watu wanahitaji lunch, kila usiku watu wanahitaji dinner and yet hawataki kulima kabisa.

However katika mipango yako ya kila siku jaribu kulitazama hili la kilimo, Aise kilimo chenye tija kamwe hakita kutupa kwani Demand yake ni kubwa mno mno na Demand yake haitakuja kuisha zaidi ya kuongezeka siku mpaka siku.

Kuongezeka kwake ni kwasababu watu wengi wanakula ila hawalimi na hawana mpango wakulima kabisa.
 
Mkuu Uliwahi kulima hata mchicha?
 
kinachokusaidia upate chakula ndio kilimo chako gentleman 🐒
 
However katika mipango yako ya kila siku jaribu kulitazama hili la kilimo, Aise kilimo chenye tija kamwe hakita kutupa kwani Demand yake ni kubwa mno mno na Demand yake haitakuja kuisha zaidi ya kuongezeka siku mpaka siku.
Danganya toto nenda kalime uone mziki wake

Unatumia gharama 1M kukoma mahindi Ukivuna hata Laki tano haIfiki. Hapo hujawek gharama zako za workforce
 
Na mtaji pia uwenao
Nikweli Mkuu.

Lakini muhimu zaidi unahitaji kuwa na Nia & information. Vijana na Wadau wengi wanafikiri ili ufanye kilimo inatakiwa uwe na mtaji mkubwa sana kumbe sio kweli.

Kuna maeneo huko Rukwa,katavi, Njombe-Rudewa, Sumbawanga n.k unayapata kwa bei rahisi unalima na unafanikiwa kukuza mtaji wako.
 
Danganya toto nenda kalime uone mziki wake

Unatumia gharama 1M kukoma mahindi Ukivuna hata Laki tano haIfiki. Hapo hujawek gharama zako za workforce
Mimi nina-lima mkuu na sometime kuto kupata kupo kama ilivyo kwenye harakati zako nyingine za kila siku. Sio kwamba kila siku unapata ingawa sio kwa hasara kama hiyo uliyo itolea wewe mfano.

Ukiona umelima kwa gharama za 1M alafu wewe ukaja kupata laki tano baada ya mavuno kama unavyo sema, Basi wewe haujui chochote kuhusu kilimo ulifuata mkumbo tu so achana na kilimo kafanye mambo mengine.
 
Hahaha Mimi mwenyewe Niko field mkuu
 
Sawa mkuu ungetupa ushuhuda kulingana na hayo mazao unayolima mfano mahindi,Viazi,Alizeti,Mpunga soko lipoje tulimeje kwa tija.
Mkuu soko linakuwa tofauti tofauti kila msimu inatemegemea upo upande gani wa kilimo.

Pia soko halipimwi kwa mimi kuliandika hapa bali soko linaendeshwa field so kama kweli unahitaji kufanya kilimo chagua mazao unayohitaji kulima then ingia field kafanye research utapata majibu mazuri sana.
 
Yeap ni sawa nilitegemea kama mhusika kabisa ambae upo kwenye field ya agriculture, basi pale juu kwenye uzi wako ungegusiagusia harakati zako za shamba tupate ABC ili kama gap lipo kila anayevutiwa aangalie eneo lake.
 
Nimekuelewa mkuu siku nikipata muda nitafanya hivyo. Maana maelezo yatakuwa marefu sana.

But jambo la muhimu kama kweli mtu unahitaji kufanya kilimo lazima utafute information field sio mitandaoni.

Mfano kama unataka kulima viazi chunguza ni mkoa gani viazi vinakubali sana?

Wapi mashamba bei nafuu?

Wapi wafanyakazi wapo?

Mbegu gani ni bora?

umwagiliaji wa viazi upo vipi?

Soko lake lipo vipi(madalali)?, n.k

Then funga safari mpaka mkoa(eneo) husika mfano tuseme Njombe Rudewa kule viazi vinakubali sana sana so funga safari mpaka Rudewa vijiji hapo utapata majibu ya maswali hapo juu sio kusubiri hapo mtandaoni tu unakuwa haupo serious na kilimo.
 
Back
Top Bottom