HIZI BEI ZA MBOLEA MIMI KAMA MKULIMA HAZINIHUSU?

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
676
Reaction score
1,113
habari za weekend wanna jf wote.

wiki hii mwishoni nimetembelea maduka ya pembejeo za kilimo karibu yote yanayopatikana sumbawanga mjini.

Lengo langu ilikuwa ni kujua bei halisi ya mbolea hasa DAP na nyingine; bei zao kwa maduka Saba kati ya kumi niliyotembelea bei ya mfuko wa mbolea ya DAP wa kilo 50 ni sh.95,000.

Nilienda kuangalia kama naweza kuchukua angalau mifuko 7 ya mbolea kwa bei niliyoikuta kwenye tovuti ya TFRA tangazo la tarehe 26/9/2026 kuhusu bei elekezi ya mbolea aina zote ambapo bei hiyo ilianza kutumika tarehe 30/9/2026.

Sasa ndugu zangu nilijaribu kuwaonesha wenye maduka bei hizo kutoka TFRA lakini waliniambia bei hizo hawajaletewa kwahivyo kutokana na nilivyojiandaa kutoka nyumbani ikabidi niahirishe hilo zoezi.
Swali langu naomba kujua bei walizotoa TFRA ni nani mnufaika? yaani kiufupi zinanihusu Mimi mkulima?

naambatanisha na bei elekezi za TFRA kwa baadhi ya mikoa.
Screenshot_20261011-161123.jpg
 
habari za weekend wanna jf wote.

wiki hii mwishoni nimetembelea maduka ya pembejeo za kilimo karibu yote yanayopatikana sumbawanga mjini.

Lengo langu ilikuwa ni kujua bei halisi ya mbolea hasa DAP na nyingine; bei zao kwa maduka Saba kati ya kumi niliyotembelea bei ya mfuko wa mbolea ya DAP wa kilo 50 ni sh.95,000.

Nilienda kuangalia kama naweza kuchukua angalau mifuko 7 ya mbolea kwa bei niliyoikuta kwenye tovuti ya TFRA tangazo la tarehe 26/9/2026 kuhusu bei elekezi ya mbolea aina zote ambapo bei hiyo ilianza kutumika tarehe 30/9/2026.

Sasa ndugu zangu nilijaribu kuwaonesha wenye maduka bei hizo kutoka TFRA lakini waliniambia bei hizo hawajaletewa kwahivyo kutokana na nilivyojiandaa kutoka nyumbani ikabidi niahirishe hilo zoezi.
Swali langu naomba kujua bei walizotoa TFRA ni nani mnufaika? yaani kiufupi zinanihusu Mimi mkulima?

naambatanisha na bei elekezi za TFRA kwa baadhi ya mikoa.View attachment 3688542
Tumeipenda wenyewe nganga...
Nawavimbe wapasuke nganga...
 
Yawezekana TFRA wame-paste bei elekezi za 2018 badala ya bei za 2026.

Naona Kahama wanaitambulisha TC ilhali ishakuwa MC toka awamu ya tano!
 
hii wizara angalau iwe serious hata kidogo.Yaani mtu nmejipanga vizuri kwenda dukani nakutana na bei tofauti mwisho wa siku naanza kuongea na mwenye duka kuhusu kupunguza bei ya mbolea yeye ndyo kwanza ananishangaa tu.
 
Back
Top Bottom