Kwa wale waliozaliwa vijijini mtamjua huyu mdudu. Yaani kuna mdudu kwa jina simjui lakini huwa muda wa giza giza anawasha taa na kuzima kama zile za kichina za Christmass na wengine hukaa chini...
Nimessoma kwenye Youtube na kugundua kuwa kumbe hela yetu ya Tanzania thamani yake ni ndogo sana ukilinganisha na Dollar za Kimarekani. Ifuatayo ni orodha za nchi za Kafrika ambazo thamani ya...
Sijaelewa siku zote ni kwa nini kwenye wimbo wetu wa Taifa tunaanza na Mungu Ibariki Afrika halafu ndiyo tunamuomba aibariki Tanzania yetu? Kwa nini tusimuombe aibariki Tanzania yetu kwanza...
Pamoja na Kuwa na shahada moja toka chuo kinachoitwa cha kata ila nibahoja moja ambayo wenye ELIMU kutika Havard na vyuo vya taifa Tanzania waniambie majibu yake
1.Utakuta SHULE za msingi kuna...
Tangu jana Najarb kumpigia Mshkaji wangu matokeo n kwamb simu yake inaita ila hapokei, Japo Msg Anajibu, Cha kushangaza anaomba Hela na amenipa namb nyingne ya Aiter ili nitume pesa kweny namba...
Serikali ya Tanzania isilale, kuna tatizo kubwa sana la uvamizi la wageni humu nchini hasa wakenya na Wanyarwanda. Mbaya zaidi hawa watu wameanza kujiita watanzania wenye asili ya kichaga. Wengine...
Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi...
Ndugu wana jamvi kwa utulivu na upendo napenda kuweka hoja ya mjadala wa Mali na asset anazomiliki mh. rais wetu,
ni kwa nia njema kabisa yeyote achangie.
NB. maneno ya kejeli na majina yasiyo...
Karibuni Eternal International kuja kupima afya ( body checkup) bure kabisa Kwa Siku ya kesho,
Tupo posta mpya Benjamin Mkapa Tower -Mezamine
Tupigie 0714547830 Kwa maelezo zaidi na kuja...
Nimefikiria tu ni kiasi gani watanzania wanapoteza kila siku kwenye unywaji wa pombe . Na madhara kiasi gani wanayoyapata baada ya kunywa pombe naamanisha kiuchumi na kiafya . Watu wanapoteza...
Habari za mwisho wa juma wakubwa.
Kuna swali mwenzenu huwa linanisumbua naomba nililete kwenu tusaidiane kupeana majibu. "Hivi kwa kiswahili neno MZUNGU lina maanisha nini. Ni mtu yeyote mweupe...
Maeneo ya mbagala charambe nilisikia sauti kubwa za milipuko kama ya silaha za moto mida ya saa tano usiku ambayo ililia mara tatu kama kuna mtu anajua kilichojiri taarifa tafadhali.
amani iwe kwenu
Nina imani kila mwenye imani ya kikristo ameshakwenda kanisani na kukamilisha ibada yake maalumu ya siku ya pasaka
Na sasa ni muda maalumu wa kurudi nyumbani kungonja...
Tafadhalil tafadhali Morogoro kuna uhaba wa bia pendwa ya balami,kwa heshima na taadhima tunaomba haraka sana mtusambazie bia yetu pendwa kwani kwa jinsi mkuu alivyobana tutaua kwa njaa familia...
Magazeti karibu yote ya leo yameongelea habari ya vyeti vyeki yaani habari ya watu 9000 wenye vyeti feki ndio ime-make headlines na sio habari ya uzinduzi wa hostel za UDSM.
Kingine...
Kama watu wanaweza kujikatia vipande vya ardhi katika sehemu mbali mbali za Dunia na kujimilikisha kwa hati miliki au mikataba ya kimataifa ya mipaka, ni kwanini nisiweze ku-claim nyota ya Jua na...
Wakuu Heri ya Pasaka
Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo...