Je, naweza kulikatia jua hati miliki?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
38,873
44,926
Kama watu wanaweza kujikatia vipande vya ardhi katika sehemu mbali mbali za Dunia na kujimilikisha kwa hati miliki au mikataba ya kimataifa ya mipaka, ni kwanini nisiweze ku-claim nyota ya Jua na kupatiwa umiliki wa kudumu?

Kwa mantiki hiyo, kila mnufaika wa Jua atawajibika kulipa % flani kwangu.
 
Utakataje hatimiliki kwa vitu ambavyo huvijui unajifananisha na Mungu?

Unaweza kukata hatimiliki kesho usilione jua je pesa zetu ambazo tumelipa watarudisha?
 
Umuombe msaada yule malaika mkuu asiyejaribiwa anaweza kukusaidia
 
Kuna hata waliopeleka maombi mahakamani kuu kule ulaya kwa kutaka kumiliki mwezi, wakaambiwa mahakama haina kifungu cha kuendesha kesi km hiyo
 
Aiiseee...àsiyelipa bill au hiyo % ndio utamfanyaje sasa?
 
Back
Top Bottom