GSM mall Pugu road imeshika moto, msaada watu wa zimamoto unahitajika haraka

Mass63

Member
Dec 31, 2016
33
37
Msaada watu wa zimamoto.

1492255437054.jpg
1492255442733.jpg
 
Gari moja ya fire. Imefika, lakini msaada unahitajika zaidi.


Wengi wa waliopo naona wamejishika viuno, wengine mikono mifukoni na wengine mikono kwapani wanashangaa kama cinema, watanzania wenzangu!!!
 
Back
Top Bottom