TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,595
2,115
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.
pasaka wananchi1.jpg

IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE
 
HERI ya PASAKA na NINYI PIA. Ila msikate umeme tafadhali.
 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.

IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE
Najua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.
 
tanesco why mnapata hasara wakati mpo wenyewe sokoni..monopoly market..

huku kina tigo, voda, zantel, hallotel wanashindana kugombea wateja na bado wanapata faida??

wapi mnakosea???
 
Najua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.
Jina ulilolipia
kiasi
eneo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nawashukuru sana tanesco kwa kufungua account humu.
Mama yangu anaishi kijijini , umeme was REA umeanza ila ameambiwa atoe elfu hamsini ili asogezewe nguzo ndipo akalipie 27000 kuunganishiwa.
Je, hii 50,000 ni ya nini?
 
Najua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.
TANESCO njooni mchukue nguzo moja jirani na kwangu kuna nguzo mmeweka lkn haina kitu, imewekwa kimakosa. Tulio jirani na nguzo hiyo wote tuna umeme kutoka nguzo zingine. Nguzo ipo inanyeshewa.

Nipo Mbezi barabara ya Goba, karibu na Njiapanda ya TEGETA, opp na CORNERSTONE BAR.
 
Back
Top Bottom