Vodacom hebu acheni wizi wa kireja reja namna hii!

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,065
18,358
Yaani sasa hivi bando hata ukijiunga 2GB hata halikai!
Hebu acheni hizo bwana maisha yenyewe yako wapi mpaka mnakata bando kiasi hicho?
Mtandao wenyewe bado unazngua ila hiyo rate ya kukata bando hainiingia akilini!

Labda wenzangu humu ndani hali iko vipi kwenye haya mabando ya voda!
Ila nahisi uvumilivu unafika kikomo sijui hata nihamie mtandao gani wenye afadhali!
 
Back
Top Bottom