RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
Habari wanajukwaa tafadhali naomba msaada wakuelimishwa kuhusiana na mradi huu,ninachopenda kufahamu ni jinsi ya wanavyolipa fidia kwa wakazi waliojenga karibu na barabara au nyumba zinazotazama barabara,ambazo ni miongoni zilipwazo fidia kwa mujibu wa sheria ya barabara 2007,sasa basi nia na dhumuni ni kupata kufahamu kwa maana ya kuongeza upana wa barabara wa mita 7.5, kwa wakazi wa gongolamboto malipo yake yanakuaje au chochote cha kuongezea,nia yangu nikuongeza upeo wangu kutokana suala hili na natumaini ndani ya jukwaa hili nitapata elimu mubashara,mwisho kabisa nawataka radhi kwa chochote kitakachowaletea usumbufu juu ya uandishi wangu au chochote nawasilisha