Miti ya mbao inauzwa

served

Senior Member
Nov 6, 2013
164
54
Hallow poleni na hekahek za pasaka.
Ipo miti ya mbaoa aina ya pines inauzwa ipo Mafinga Iringa ina umri wa miaka 9 na zpp ekari 13 asanteni.Aliye penda naomba tuonane PM
 
Hallow poleni na hekahek za pasaka.
Ipo miti ya mbaoa aina ya pines inauzwa ipo Mafinga Iringa ina umri wa miaka 9 na zpp ekari 13 asanteni.Aliye penda naomba tuonane PM
no picha? next time weka mpaka coordinates
 
Bei ni shilingi milioni 5 na,picha ntaziongeza ,na siuzi shamba nnauza miti tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom