Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 10,488
- 29,672
salam, unapopewa mtihan wowote lazima uwe na mafunzo na mbinu za kufaulu mtihani huo. kama maisha ni mtihan namna gani tutafaulu angali mtihani wenyewe ni mmojaa wengine tumeachwa bila mbinu na mafunzo lakini wengine wamepewa mf elimu,mtaji,afya nk.