ntagunga
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 704
- 287
Wana bodi salamu.
Naamini hapa lilioshindikana kwingine hapa linawezekana.
Miaka ya 1996 hadi 1999, nilikuwa napenda kusikiliza Nyimbo za Timoth Ng'winamila, na albamu yake ya Mwana Mpotevu. Sasa ni muda mrefu sijazipata nyimbo hizoambazo kipindi hicho zilikuwa katika audio tape.
Nimejaribu kuzitafta nyimbo hizo Youtube, sijafanikiwa hata kidogo. Ila kupitia facebook,nilimpatamtu mmoja ambaye alinipa taarifakuwa jamaa aliacha uimbaji na ni mwajiriwa serikalini.
Kwa yeyeto anayewezakunipa contacts zake ili nimtafte, au kwa yeyote anayeweza kumshauri atuwekee youtube,tafadhali atusaidie.
Naamini JF ni mwisho wa yote.
Aksanteni in advance.