Very recently Al Jazeera featured a documentary by an investigative journalist by the name Anas Aremeyaw Anas. Anas filmed 12 high court judges, 22 other judges and 140 other court officials...
Hivi ni kweli anayetazama TBC anakuwa hana kifurushi cha star times. Watu wamebishana sana hadi kuwekeana pesa na wameamua kufanya utafiti wa kina kwa wale wanaotazama TBC.
WanaJF,
Mara zote nimeona ndege ikitaka kurudi nyuma mpaka isukumwe, haiwezi kurudi kinyumenyume, hivi kwanini ilitengenezwa hivyo kwamba isiweze kurudi kama yafanyavyo magari?
Mm ni mzaliwawa kwanza(First born) kwenye familia yetu yenye watoto watano.
Wazazi kabla ya kunileta duniani sikujua hali ya aman kipindi hicho ilikuwaje ila naamini walikuwa wawili wapendanao...
Ugonjwa wa Wana CCM kuwa wanafiki na kushindwa kukisaidia chama kustawi nauliza utaisha lini?
Mfano wa unafki uliopitiliza ni huu wa Mr polepole kutaka kumwadhibu Nape kwa kuwaambia ukweli, sasa...
Jiji la Dar es salaam linapoteza mapato mengi kwasababu ya ubovu wa miundombinu ya barabara. Muda mwingi ambao ungetumiwa kufanya shughuli za uzalishaji unapotea barabarani kwenye foleni.
Wakazi...
Wanandugu,nimekumbuka yale maneno mawili ya Mhehimiwa yaani KATA,
Vipi haya maneno yalifanikiwa kufanyiwa kazi upande wa Tanzania visiwani au yalipotea kama mengine yanavyopoteaga?
Nakumbuka pia...
Habari wanaJF,
Hali ya taharuki imezuka ghafla katika viunga vya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya Mgonjwa mmoja mwenye miaka 25 amejeruhiwa baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza...
Habari za saa hii wanajamvi..
Kwa Tanzania huwa tunatumia huu useme wa "ni wanaume wa... Tu" ndo hufanya jambo fulani ama Tabia za mahala fulani..
Hivyo leo ningependa tuutumie usemi huu katika...
Habari Wadau wa JF,
Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa amefumaniwa akifanya...
Asalaam:
Kiukweli nachukizwa sana na hii mifuko ya jamii kwa sababu ya usumbufu mkubwa uliopo katika kulipa wateja wake, yaani pesa yako kama unaiomba vile,,,,,,,!!!!! kalenda nyingii kama...
Serikali imemwondoa nchini Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo. (pichani kulia)
Mkurugenzi huyo raia wa Gambia, aliyeletwa nchini na Umoja wa Mataifa...
Tanzania expels top UN official
Posted at 15:38
Tanzania's government has expelled the top official of the United Nations Development Programme (UNDP) in the country, the foreign ministry has...
Salaam!
Nipenda kufahamu mwenye kujua vyema kuhusu ONLINE MEMBERS STATEMENT za mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF.
Nimejisajili hapa ili niweze kuwa natazama statement zangu pasipo kufika katika...
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo anafahamu. Yalianza kumea taratibu mpaka sasa ndio yamefikia kilele chake. Tunalaumu filamu za nje...
Hii imetokea wakati wa ibada ya Pasaka ambapo amesema Pasaka ya mwaka huu imemgusa kiroho na kimwili.
Imemgusa kiroho kwa sababu Bwana Yesu amefufuka katika wafu.
Imemgusa kimwili kwa sababu...